Wataalamu Hawa Wachunguzwe! Je, Kuna Posibility Walihongwa Kutoa Ripoti Kuwa "Tanzania Hatuwezi?!"

Mpaka sasa sielewi tunacholalamika mchanga kwenda nje. Kama tutajua quantities za madini yaliyomo na mchanga unasafirishwa bila kificho na unakuwa inspected. Kama tulikubaliana toka mwanzo ni nini kimebadirika mpaka kila moja Wetu a one kuwa tunaibiwa?

Binafsi pakubwa page kurekebisha ilikuwa kwenye contracts. Huko ndiyo tulipigwa bao la mkono. Nchi kama Namibia au Botswana kama wangekuwa na contract kama zetu sidhani kama mambo yao yangekuwa mazuri!!

Mkuu, mfano, tu Yale mashimo tutayaziba kwa matawi na majani ya miti ?

Mchanga, ule huwezi ukapima vitakavyotoka humo kwa macho.

Pia, siyo wakweli mara nyingi wanapeleka kisha wanasema hakukuwa na kitu. Kuna ujanja mwingi sana.

Na mchanga, si hauozi na haushi?
Acha ukae hadi Tanzania au wawekezaji wakileta machine hapo Bongoland.

Acha tu iwe hivyo Maana hakuna namna!
 
Gram mbili kwa tani ya mchanga halafu unapiga kelele unataka ujengwe mtambo wenye thamani ya $500million ? Kuna mtu sio salama mukichwa
Wataalam waliomwambia Makufuli tunaibiwa watupe takwimu pinzani
Kukurupuka kubaya sana
Literature survey has revealed that most of the imported Copper Concentrate by the world’s leading copper smelters contains relatively higher quantities of copper than that supplied by BGM and BZGM. The quality and composition of BGM and BZGM Copper Concentrate is considered poor in that it contains about 15% copper, 0.02% gold and 0.02% silver on the average. That being the case, efficient smelting of their Copper Concentrate requires blending with concentrate from other producers (reference: letter from BGM dated 31st October 2007 with Ref. No. BGT/600/049/LD).

Wewe ndiyo umekurupuka nadhani
 
Mkuu, mfano, tu Yale mashimo tutayaziba kwa matawi na majani ya miti ?

Mchanga, ule huwezi ukapima vitakavyotoka humo kwa macho.

Pia, siyo wakweli mara nyingi wanapeleka kisha wanasema hakukuwa na kitu. Kuna ujanja mwingi sana.

Na mchanga, si hauozi na haushi?
Acha ukae hadi Tanzania au wawekezaji wakileta machine hapo Bongoland.

Acha tu iwe hivyo Maana hakuna namna!
Mkuu sasa hapo tatizo siyo wao bali ni sisi kushindwa kusimamia mali zetu.

Kama tumewamini kiasi hicho cha kusubiri watwambie kwenye mchanga kuna dhahabu au hakuna huo ndiyo ujinga wenyewe. Wote tunajua hata Bongo ukienda sokoni kununua maharage, mchele au sukarI muuzaji atajaribu kukupunja kwenye mizani kwa namna fulani. Vitu hivi vinafanyika pia at a higher level.

Kwa sasa kila mtu anapiga kelele kuhusu kuibiwa ili aonekane ni mzalendo lakini hakuna anayepiga kelele kusema jinsi ya kudhibiti huu wizi. Kwa technology ya sasa siyo vigumu kujua ni kiasi gani cha dhahabu kwenye kila container la mchanga.
 
Mkuu sasa hapo huo ni kuwa tatizo siyo wao bali ni sisi kushindwa kusimamia maliti zetu.

Kama tumewamini kiasi hicho cha kusubiri watwambie kwenye mchanga kuna dhahabu au hakuna huo ndiyo ujinga wenyewe. Wote tunajua hata Bongo ukienda sokoni kununua maharage, mchele au sukarI muuzaji atajaribu kukupunja kwenye mizani kwa namna fulani. Vitu hivi vinafanyika pia at a higher level.

Kwa sasa kila mtu anapiga kelele kuhusu kuibiwa ili aonekane ni mzalendo lakini hakuna anayepiga kelele kusema jinsi ya kudhibiti huu wiki. Kwa technology ya sasa siyo vigumu kujua ni kiasi gani cha dhahabu kwenye kila container la mchanga.

Kwa kifupi, tuna majanga kama Taifa. Maana hata humu tu, tumegawanyika sana.

Wabunge ndiyo kabisaa usiseme, hawajielwi , wako mahututi (ICU) .

Serikali kuu ndiyo majanga ni hakuna kifani walivyogawanyika.

Yaani tumeishapotea katika ramani ya dunia.
 
Mimi nashangaa wengi wanazungumza mengi sana!
Lakini hawasemi muda wote hawa watu walikuwa wanasafirisha kinyemela au mkataba tulioingia nao unawaruhusu!
Maana naona kelele nyingi upande wa serikali hao majamaa wametulia kimyaaaa!
Yasije kuwa ya Ile meli ya uvuvi kipindi kile,mtu akaja kusema alihujumiwa na mawakili
Hili nalo neno
 
....
....Upinzani walipiga sana kelele kuhusu mikataba ya uchimbaji wa madini kuwekwa Hadharani...Leo tusingefika huko...Muda ni fedha

Hawa jamaa sijui vipi, wanaamka leo wakati Taifa limeshapoteza matrilioni ya fedha kwa zaidi ya miaka 10 tuliyopiga kelele. Halafu mbaya zaidi wanaamka na matamko na mbinu za enzi za Ujima. No way, kwa mbinu hizi hawatopata kitu pale.

Wanapata kigugumizi gani au wanaona shida gani kutuwekea hadharani hiyo Mikataba ya Madini? Tutachangia kidogo chetu na uzoefu/utaalam wetu ili mradi nchi yetu isiendelee kuwa shamba la bibi.

Kadhalika na kwenye gesi pia, kule nako uko uozo wa kufa mtu. Muda ni sasa wa kuchukua hatua, hatutaki hizi drama zenu na partisan politics zinazoumiza nchi yetu.

Pia ni wakati sasa watuwekee hadharani Ripoti zote za Kamati/Tume na Timu za uchunguzi za Serikali na za Bunge. Tumechoka na drama.
 
Baada ya ufafanuzi wa PM jana, naomba wote tumuunge mkono rais katika hili suala. By the way, wapiga debe wa makampuni ya madini kama Zitto Kabwe wana historia ya kuwa na maslahi na wanachokitetea. Rais aungwe mkono kwa sababu ana taarifa nyeti ambazo wengine hatupati nafasi ya kuzisikia wala kuziona.
 
Kwa kifupi, tuna majanga kama Taifa. Maana hata humu tu, tumegawanyika sana.

Wabunge ndiyo kabisaa usiseme, hawajielwi , wako mahututi (ICU) .

Serikali kuu ndiyo majanga ni hakuna kifani walivyogawanyika.

Yaani tumeishapotea katika ramani ya dunia.
Agree with you!! Kila mtu analalamika tu badala ya kuja na solution. Rais wenyewe anasema eti anatwambia akichomo kwenye macontainer tutalia. Seriously!!?

Waende tu hapo Namibia wakaangalie ni jinsi gani jamaa wanavyolinda almasi yao. Usalama wa taifa wamemwagwa humo balaa. Tena huko almasi inachimbwa mpaka baharini lakini bado wanaidhibiti. Sisi kwetu usalama wa taifa wamemwagwa mitaani kuwadhibiti Ukawa!!
 
a jee rais wetu ataimeza amri yake na huo mchanga utachunguzwa tuu kisha kuendelea kusafirishwa?!. Paskali
Safiii, na tukumbuke wasomi wetu hawa hawa ndiyo chanzo cha hii nchi kukosa maendeleo kutokana na tamaa na kutokuwa wazalendo, maprofesa wamejaa katika kila taasisi, kila shirika la umma, kila wizara, kila bodi, ila tunachofaidika nawo hasa ni nini zaidi ya wao kuvimbisha matumbo yao na kujifanya kuishi kama wako mbinguni?!
Enough is Enough...
 
Wanabodi,
Hii ndio Ripoti ya kitaalamu iliyotoa go ahead mchanga wa dhahabu uendelee kusafirishwa nje kwa hoja kuwa Tanzania hatuwezi!. Kwa vile hii ni ripoti ya kitaalamu, na mimi sio mtaalamu, naomba kuwauliza wenye mwanga na mambo haya, Jee kunauwezekano wataalamu wetu hawa walihongwa na makampuni ya madini ili kutoa ripoti hii, hivyo wachunguzwe na ikukutikana ni kweli, sheria ichukue mkondo wake?. Kwa Ripoti hii kuwa Tanzania Hutuwezi kujenga smelter ya mchanga wa makanikani ya dhahabu, Jee Kuna Posibility Walihongwa Kutoa Ripoti Kuwa "Tanzania Hatuwezi?!".

Ripoti yenyewe ni hii kwa hisani ya Mkuu Chige.

Mkuu Chige, thanks kwa Ripoti hii.

Natoa wito kwa Wataalam waliyo tayarisha, Ripoti hii, watafutwe, wachunguzwe, watakuwa walihongwa na makampuni ya madini, ili watoe Ripoti kuonyesha Tanzania hatuwezi, hivyo washitakiwe, hawa ndio waliosababisha Tanzania tuendelee kuibiwa dhahabu yetu kwa kudanganywa kuwa ni mchanga!.

Japo mimi sio mtaalamu wa madini, lakini ni Mtanzania wa kawaida kabisa ninaejua kusoma na kuandika tuu, kwa kuisoma ripoti tuu Ripoti hii, utaona wazi wazi kabisa, wataalamu hawa walihongwa, wakatafuna fedha za umma kufanya ziara za China na Japan kisha kutujia na ripoti hii ambayo ni wizi mtupu!.

Hao makampuni ya madini kwa vyovyote vile watakuwa waliwahonga wataalamu hawa kutoa ripoti hii, ili waendelee kuiba dhahabu yetu kwa kutudanganya ni mchanga!, hivyo sasa Magufuli, leta ule mtambo mdogo, tuuchenjue wenyewe huu mchanga wote ulikamatwa, kisha kiasi cha dhahabu kitakacho patikana, kitazidishwa mara idadi ya makontena yote ya mchanga, waliowahi kusafirisha nje!, tangu waanze kuchimba, kisha watulipe kila senti ya dhahabu waliotuibia, wezi wakubwa hawa!.
Observation yangu.
1.Conclusion yao imesema hivi "The study concludes that it is currently not feasible for a Copper Concentrate smelter to be constructed in the country to smelt and refine Copper Concentrate produced by BGM and BZGM. However, investors are encouraged to explore more on possibilities of discovering copper deposits which will warrant for installation of a Copper Concentrate smelter in the Country."
Hii ndio iliyohalalisha huu wizi!.

2. Kwenye ripoti yao wameonyesha wametembelea China na Japani zenye smelter kubwa zinazohitaji tani 150,000 za mchanga kwa mwaka ambazo zinagharimu dola USD 500 million hadi USD 800 millioni ili tushindwe, kwa sababu hatuna mchanga mwingi kihivyo, na pesa hiyo ni pesa ndefu ili tuu wezi hawa waendelee kutuibia, ila ukweli ni kuwa kuna smelter ndogo za hadi ya tani 30 tuu kama ile ya Stillwater Mining ya nchini Marekani inayogharimu dola milioni 300 tuu!. Kwanini hawakwenda huko?!.

3. Ripoti hiyo imeonyesha taarifa ya kupika kuonyesha mchanga huo una kiwango kidogo cha cha shaba na dhahabu kiduchu tuu ili tusijue tunaibiwa!, kwa kuonyesha copper (average assay 15%), gold(average assay 0.02%) and silver (average assay 0.02%), copper being in higher concentration than the rest, hence the product named Copper Concentrate hivyo kuonyesha hakuna faida yoyote ya maana, wakati ripoti za kijilojia zinaonyesha viwango tofauti vya shaba, dhahabu,na fedha ndio kiduchu.
  • The Bulyanhulu Gold Mine located in Kahama District has a copper deposit with high gold values averaging 0.0015% gold, 0.52% copper and 0.00114% silver. It has a mineable resource of 13.64 million tonnes. It commenced production in 2001 with an average annual production of Copper Concentrate of 50,000 tonnes (source: Opportunities for Mineral Resource Development, 2005).

  • The Buzwagi Gold Mine located in Kahama District has a copper deposit with high gold values averaging at 2.10 grams per tonne, 0.14% copper and 0.00115% silver. It has a mineable resource of 41 million tonnes. It commenced production in 2009 with an average annual production of Copper Concentrate of 10,000 tonnes.
4. Mwisho ripoti hiyo ikatoa vitisho kibao kuhusu athari za kimazingira ili kutukatisha kabisa tamaa tusithubutu hata kujaribu, kwa kuorodhesha haya masumu kibao, tukijaribu tuu, tutaua watu wetu..
  • Depending on the composition of the Copper Concentrate, a number of heavy metals such as copper, mercury, cadmium, nickel, cobalt, zinc and so forth may be concentrated through processing and be deposited to the environment. These metals may enter into the human blood system by inhalation or by being ingested from heavy metal contaminated species (animals, fish, plants, etc).

    Heavy metal toxicity can result in damaged or reduced mental and central nervous function, lower energy levels, and damage to blood composition, lungs, kidneys, liver, and other vital organs. Long-term exposure may result in slowly progressing physical, muscular, and neurological degenerative processes that mimic Alzheimer's disease, Parkinson's disease, muscular dystrophy, and multiple sclerosis.

  • Crystalline silica, when inhaled can cause silicosis of the lung both to humans and animals;

  • Carbon dioxide produced during smelting of Copper Concentrate can result into acid rain, which is harmful to plants;

  • Chemicals/reagents used in smelting process can be harmful to humans especially to staff exposed to them.

  • Waste products from Copper Concentrate may amount to billions of tonnes. The tailings from the concentrating operation and the slag from the smelting operation do pose a potential health hazard and may require huge expenses to protect and manage the affected areas.
Swali ni jee kwani huko wanakosafisha, wanafanya nini kukabiliana na athari hizi?, na sisi tukianzisha si tutakabiliana nazo?. Au hii migodi iliyopo inatoa sumu hizo hizo, kwani wanafanyaje?, hilo smelter tukalijenge kule kwenye visiwa visivyo na watu, au maporini kabisa!.

Haiwezekani watu wahangaike hivyo kusafirisha makontena milioni toka Tanzania hadi Japan for nothing kama tunavyoelezwa na ripoti hii!, msikute rais wetu hili alioteshwa na Mungu mwenyewe, na kama issue ni Tanzania hatuna umeme wa kutosha, tnaweza kukubaliana kila siku umeme nchi nchi nzima ni hadi saa 6 usiku, hadi 12:00 asubuhi, isipokuwa taasisi muhimu, kisha umeme wote wa gridi uende kwenye smelter just 6 hours daily.

Mnaonaje jameni wachunguzwe, au wenye utaalam, tusaidieni hii kitu iko sawa?!.
Kama iko sawa jee rais wetu ataimeza amri yake na huo mchanga utachunguzwa tuu kisha kuendelea kusafirishwa?!.

Paskali
Nyie sindio mliosema rais alifanya drama pale bandarini ili azime tukio la clouds na la muhesimiwa nape. Leo tena mnarudi kule kule alipo rais. Ila JPM ana moyo sana. Kama ingekuwa ndo mimi ningekuwa nishaachana nalo hili swala. Kwani haibiwi rais peke yake.
 
Kwani mkataba ulikuwa wa kuchimba dhahabu au pia na kuchimba mchanga na kuusafirisha,hapo nyuma hii biashara ya mchanga ilienda kimya kimya ,tukaja gundua baada zile kontena kuanguka na tuliambiwa hiyo biashara ya mchanga isimamishwe lakini kumbe ikabaki inaendelea hivi hawa wawekezaji walikuja kuchimba mchanga au dhahabu,sasa kama mchanga hauna kazi baada ya kuchekecha dhahabu kwanini wanang'ang'ania kuusafirisha?kwanza tungeanzia na akina Dr Kafumu,hawa wameitia hasara sana nchi yetu
Kwanza mi nakubaliana na mwanzisha mada kuwa kunauwezekano kuwa hiyo ripoti ilitolewa baada ya wahusika kufadhiliwa kila kitu na waliiandikia hotelini.
Plant ndog ya hata tan3 kwa siku inawezekana kama upo seriaus kufanya biashara, kwani unapeleka vipimo tu kwa manifacturer tu na yeye alikuja na kitu cha kusatisyfy ur needs.

Ila sasa je swala linakuja, iwapoutawekeza kiwanda italipa wakati kuna sehemu unaweza ukasafirisha na kupata faida kubwa zaidi ya ambavyo ungekijenga?!
Hilo ni swala la kimahesabu zaidi, mtu kulima au kusubiri na kununua mazao.
 
Wanabodi,
Hii ndio Ripoti ya kitaalamu iliyotoa go ahead mchanga wa dhahabu uendelee kusafirishwa nje kwa hoja kuwa Tanzania hatuwezi!. Kwa vile hii ni ripoti ya kitaalamu, na mimi sio mtaalamu, naomba kuwauliza wenye mwanga na mambo haya, Jee kunauwezekano wataalamu wetu hawa walihongwa na makampuni ya madini ili kutoa ripoti hii, hivyo wachunguzwe na ikukutikana ni kweli, sheria ichukue mkondo wake?. Kwa Ripoti hii kuwa Tanzania Hutuwezi kujenga smelter ya mchanga wa makanikani ya dhahabu, Jee Kuna Posibility Walihongwa Kutoa Ripoti Kuwa "Tanzania Hatuwezi?!".

Ripoti yenyewe ni hii kwa hisani ya Mkuu Chige.

Mkuu Chige, thanks kwa Ripoti hii.

Natoa wito kwa Wataalam waliyo tayarisha, Ripoti hii, watafutwe, wachunguzwe, watakuwa walihongwa na makampuni ya madini, ili watoe Ripoti kuonyesha Tanzania hatuwezi, hivyo washitakiwe, hawa ndio waliosababisha Tanzania tuendelee kuibiwa dhahabu yetu kwa kudanganywa kuwa ni mchanga!.

Japo mimi sio mtaalamu wa madini, lakini ni Mtanzania wa kawaida kabisa ninaejua kusoma na kuandika tuu, kwa kuisoma ripoti tuu Ripoti hii, utaona wazi wazi kabisa, wataalamu hawa walihongwa, wakatafuna fedha za umma kufanya ziara za China na Japan kisha kutujia na ripoti hii ambayo ni wizi mtupu!.

Hao makampuni ya madini kwa vyovyote vile watakuwa waliwahonga wataalamu hawa kutoa ripoti hii, ili waendelee kuiba dhahabu yetu kwa kutudanganya ni mchanga!, hivyo sasa Magufuli, leta ule mtambo mdogo, tuuchenjue wenyewe huu mchanga wote ulikamatwa, kisha kiasi cha dhahabu kitakacho patikana, kitazidishwa mara idadi ya makontena yote ya mchanga, waliowahi kusafirisha nje!, tangu waanze kuchimba, kisha watulipe kila senti ya dhahabu waliotuibia, wezi wakubwa hawa!.
Observation yangu.
1.Conclusion yao imesema hivi "The study concludes that it is currently not feasible for a Copper Concentrate smelter to be constructed in the country to smelt and refine Copper Concentrate produced by BGM and BZGM. However, investors are encouraged to explore more on possibilities of discovering copper deposits which will warrant for installation of a Copper Concentrate smelter in the Country."
Hii ndio iliyohalalisha huu wizi!.

2. Kwenye ripoti yao wameonyesha wametembelea China na Japani zenye smelter kubwa zinazohitaji tani 150,000 za mchanga kwa mwaka ambazo zinagharimu dola USD 500 million hadi USD 800 millioni ili tushindwe, kwa sababu hatuna mchanga mwingi kihivyo, na pesa hiyo ni pesa ndefu ili tuu wezi hawa waendelee kutuibia, ila ukweli ni kuwa kuna smelter ndogo za hadi ya tani 30 tuu kama ile ya Stillwater Mining ya nchini Marekani inayogharimu dola milioni 300 tuu!. Kwanini hawakwenda huko?!.

3. Ripoti hiyo imeonyesha taarifa ya kupika kuonyesha mchanga huo una kiwango kidogo cha cha shaba na dhahabu kiduchu tuu ili tusijue tunaibiwa!, kwa kuonyesha copper (average assay 15%), gold(average assay 0.02%) and silver (average assay 0.02%), copper being in higher concentration than the rest, hence the product named Copper Concentrate hivyo kuonyesha hakuna faida yoyote ya maana, wakati ripoti za kijilojia zinaonyesha viwango tofauti vya shaba, dhahabu,na fedha ndio kiduchu, lakini kuna madini mengine mengi ambayo yana thamani, lakini hayatajwi!. Hivyo kiukweli hapa tunaibiwa!.
  • The Bulyanhulu Gold Mine located in Kahama District has a copper deposit with high gold values averaging 0.0015% gold, 0.52% copper and 0.00114% silver. It has a mineable resource of 13.64 million tonnes. It commenced production in 2001 with an average annual production of Copper Concentrate of 50,000 tonnes (source: Opportunities for Mineral Resource Development, 2005).

  • The Buzwagi Gold Mine located in Kahama District has a copper deposit with high gold values averaging at 2.10 grams per tonne, 0.14% copper and 0.00115% silver. It has a mineable resource of 41 million tonnes. It commenced production in 2009 with an average annual production of Copper Concentrate of 10,000 tonnes.
4. Mwisho ripoti hiyo ikatoa vitisho kibao kuhusu athari za kimazingira ili kutukatisha kabisa tamaa tusithubutu hata kujaribu, kwa kuorodhesha haya masumu kibao, tukijaribu tuu, tutaua watu wetu..
  • Depending on the composition of the Copper Concentrate, a number of heavy metals such as copper, mercury, cadmium, nickel, cobalt, zinc and so forth may be concentrated through processing and be deposited to the environment. These metals may enter into the human blood system by inhalation or by being ingested from heavy metal contaminated species (animals, fish, plants, etc).

    Heavy metal toxicity can result in damaged or reduced mental and central nervous function, lower energy levels, and damage to blood composition, lungs, kidneys, liver, and other vital organs. Long-term exposure may result in slowly progressing physical, muscular, and neurological degenerative processes that mimic Alzheimer's disease, Parkinson's disease, muscular dystrophy, and multiple sclerosis.

  • Crystalline silica, when inhaled can cause silicosis of the lung both to humans and animals;

  • Carbon dioxide produced during smelting of Copper Concentrate can result into acid rain, which is harmful to plants;

  • Chemicals/reagents used in smelting process can be harmful to humans especially to staff exposed to them.

  • Waste products from Copper Concentrate may amount to billions of tonnes. The tailings from the concentrating operation and the slag from the smelting operation do pose a potential health hazard and may require huge expenses to protect and manage the affected areas.
Swali ni jee kwani huko wanakosafisha, wanafanya nini kukabiliana na athari hizi?, na sisi tukianzisha si tutakabiliana nazo?. Au hii migodi iliyopo inatoa sumu hizo hizo, kwani wanafanyaje?, hilo smelter tukalijenge kule kwenye visiwa visivyo na watu, au maporini kabisa!.

Haiwezekani watu wahangaike hivyo kusafirisha makontena milioni toka Tanzania hadi Japan for nothing kama tunavyoelezwa na ripoti hii!, msikute rais wetu hili alioteshwa na Mungu mwenyewe, na kama issue ni Tanzania hatuna umeme wa kutosha, tnaweza kukubaliana kila siku umeme nchi nchi nzima ni hadi saa 6 usiku, hadi 12:00 asubuhi, isipokuwa taasisi muhimu, kisha umeme wote wa gridi uende kwenye smelter just 6 hours daily.

Mnaonaje wajameni hawa wataalamu wachunguzwe, au wenye utaalam, tusaidieni hii kitu iko sawa?!. Na hata kama hawa wataalamu walihongwa, hadi mimi tuu ni layman kabisa, nimewashutukia, how about wabunge wetu?, vipi kama yetu ya Bunge ya Nishati na Madini?, vipi watendaji wetu wa Wizara ya Nishati na Madini, kweli hili hawajaliona?. Haya hao wote ni watu wa mshahara tuachane nao, waachwe wajipigie tuu mishahara yao, jee vipi kuhusu wateule wa rais?, waziri, naibu waziri na katibu mkuu?. Waziri si ni profesa wa geolojia, nae kadanganywa kama mtoto mdogo na kakubali?. Siku ukweli ukibainika kuwa tunapigwa, atasubiri kutumbuliwa, au ni bora awatumbue wahuni hawa kabla, vingenevyo watamponza, atatumbuliwa yeye!.

Kama iko sawa jee rais wetu ataimeza amri yake na huo mchanga utachunguzwa tuu kisha kuendelea kusafirishwa?!.

Paskali
Update 1.
Kumejitokeza Mtaalam mwenye insight kuhusu mambo haya na amejitokeza hapa
Kwenye Sakata la Mchanga wa Dhahabu - NAFAHAMU Ukweli wa ndani
Baada ya Taarifa ya kamati kutoka leo, ndio kuna watu wanashangaa na kugundua tulikuwa tunapigwa!. Angalieni hili bandiko ni la lini na tulisema nini humu!.

Nawashauri viongozi wetu, kuna vitu vinasemwa humu jf, msividharau, vifuatilieni, bora lawama kuliko fedheha, kinachofuatia sasa kwa mjiolojia wetu ni fedheha!.

Pole Prof. Muhongo.

Paskali umeandika hoja kali za kinabii, hii nchi ina kakikundi ka wapotoshaji, ni very smart na ni wasomi wazuri sana. Wanapopewa kazi wao ni kujihalalishia upigaji tu.
 
Baada ya Taarifa ya kamati kutoka leo, ndio kuna watu wanashangaa na kugundua tulikuwa tunapigwa!. Angalieni hili bandiko ni la lini na tulisema nini humu!.

Nawashauri viongozi wetu, kuna vitu vinasemwa humu jf, msividharau, vifuatilieni, bora lawama kuliko fedheha, kinachofuatia sasa kwa mjiolojia wetu ni fedheha!.

Pole Prof. Muhongo.

Paskali
Mkuu hazina ya madini tuliyonayo thamani yake ni zaidi ya dola milioni 300, pia tukiwanayo hiyo hata DRC na majirani wengine wataleta michanga yao kwetu.
 
Kwani mkataba ulikuwa wa kuchimba dhahabu au pia na kuchimba mchanga na kuusafirisha,hapo nyuma hii biashara ya mchanga ilienda kimya kimya ,tukaja gundua baada zile kontena kuanguka na tuliambiwa hiyo biashara ya mchanga isimamishwe lakini kumbe ikabaki inaendelea hivi hawa wawekezaji walikuja kuchimba mchanga au dhahabu,sasa kama mchanga hauna kazi baada ya kuchekecha dhahabu kwanini wanang'ang'ania kuusafirisha?kwanza tungeanzia na akina Dr Kafumu,hawa wameitia hasara sana nchi yetu
Mkuu Mfianchi, hapa nakuunga mkono, kule Mererani, kuna kampuni ya makaburu, imeomba kibali cha kuchimba bauxite, wamepewa kibali na wanachimba bauxite, lakini kwenye mwamba huo huo wa bauxite ndio huo huo wenye Tanzanite. Kwenye hesabu zao na kibali chao ni bauxite tuu!, watu kama hawa wakikutana na Tanzanite, huwa wanazitupa tuu kwa sababu lengo lao ni bauxite tuu!. Huo mchanga una mengi lakini declaration ni kiduchu!.

Sasa wamefika mwisho wao, kama vipi, wafungashe virago vyao, waondoke!.

Paskali
 
Baada ya Taarifa ya kamati kutoka leo, ndio kuna watu wanashangaa na kugundua tulikuwa tunapigwa!. Angalieni hili bandiko ni la lini na tulisema nini humu!.

Nawashauri viongozi wetu, kuna vitu vinasemwa humu jf, msividharau, vifuatilieni, bora lawama kuliko fedheha, kinachofuatia sasa kwa mjiolojia wetu ni fedheha!.

Pole Prof. Muhongo.

Paskali

"Carbon dioxide produced during smelting of Copper Concentrate can result into acid rain, which is harmful to plants".

Naunga mkono hoja. Hao walioandika mambo haya watafutwe wafunguliwe kesi ya kuhujumu uchumi.

Lakini kama watu wamehongwa kuruhusu wizi wa mahela yote hayo, basi kuna watu wana hela sana jamani. Au huwa wanahongwa bila kujua thamani ya kile wanachoruhusu, hivyo kushindwa kukadiria kiasi cha mlungula wanachostahili? Maanake unaweza kukuta Waziri aliahidiwa ufadhili wa kumsomesha bintiye ughaibuni, akadondoka signature. Nina mashaka makubwa na uwezo wa watendaji wetu. Pia elimu yetu.
 
Back
Top Bottom