mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,855
- 8,253
Hao akina Bashe ,Tundu ,Zitto kwa mahaba waliyonayo upande wa pili watadai huo mchanga hauna dhahabu ili tu maksudi waiabishe serikali kwa manufaa yao ya kisiasa.Hao ni watu wa kutumikia watu na sio serikali,hawafai.Naomba kwenye hiyo TUME ya Kibunge ambayo Speaker ataunda, Please, Please, Tundu Lissu, Hussein Bashe, Eribalick Kingu, Zitto Kabwe wawemo, Tafadhari sana Bwana Ndugai.
Nakwambia, hao wawekezaji wataumbuka ikiwa Rais ataamua kuleta wataalamu na mitambo maalum kuangalia kilichomo, zile scanner pale Bandarini ndizo zilizotoa alarm kwa watendaji wa serikali kwamba, humu ndani ya kontena kuna dhahabu si mchanga tu