afu hii tabia ya watu kujiita wataalamu wa mapenzi wakati toka wanazaliwa wameshawahi kuwa na mpenzi mmoja au unakuta mwingine hajawahi kuwa na mpenzi afu anatoa ushauri wa mapenzi..wewe mtu hujaoa unatoa ushauri kwa wanandoa...kuna mambo yakushauri bila kuwa na uzoefu ila mapenzi SIYO,zaidi unakuta mtu anasoma vijarida vya mapenzi mkikutana analeta kurukaruka dakika moja hoi au analeta mapenzi ya kwenye magazeti bila kujua kila mtu ana misingi na miiko yake..andikeni makala za tembo kuuawa na maliasili kupotea hapo hata uzoefu wa vitendo hautakiwi.