JOSEPH SHALUWA
Member
- Feb 9, 2014
- 20
- 6
Nimesema natafiti... lakini hata ukijua itakusaidia nini?hebu nikumbushe utalaam huo wewe uliupatia wapi vile au chuo gan ?
wewe unapowaita wenzio watalaam feki, wewe utalaam umeutoa wapi zaidi ya kugoogle na kuchange in swahili content hadi unajiita mtalaamNimesema natafiti... lakini hata ukijua itakusaidia nini?
Kama una makala yoyote ambayo una ushahidi kuwa nimeitafsiri, iweke hapa. Niaatcha kuandika kuanzia siku hiyo! Si kutafsiri tu, hata kuchukua idea ya mtu. Naandika kutoka kichwani mwangu. Mimi siyo mvivu na ninajua ninachokifanya. Naandika kwa mwaka wa kumi sasa!wewe unapowaita wenzio watalaam feki, wewe utalaam umeutoa wapi zaidi ya kugoogle na kuchange in swahili content hadi unajiita mtalaam
Mwenye kuelewa aelewe, asiyeelewa abaki hivyo hivyo, ninachokizungumza ni haki za uandishi dunia nzima. Huwezi kuchukua kazi ya mtu bila kutoa credit. Hizi kazi zina hakimiliki.
Kama una makala yoyote ambayo una ushahidi kuwa nimeitafsiri, iweke hapa. Niaatcha kuandika kuanzia siku hiyo! Si kutafsiri tu, hata kuchukua idea ya mtu. Naandika kutoka kichwani mwangu. Mimi siyo mvivu na ninajua ninachokifanya. Naandika kwa mwaka wa kumi sasa!
you are very right The Planner namshangaa JOSEPH SHALUWA anavyosema anaandika kutoka kichwani mwake, researcher gani anaandika kutoka kichwani mwake? those are sweeping statements na anashushia hadhi maandiko yake. Binafsi sisomi mtu anayeandika kutoka kichwani mwake maana hizo ni "emotions" zake tu ambazo sio "evidenced based"Sidhani kama upo sahihi sana kusema hujawahi hata kuchukua idea ya mtu. Maana tafiti zote hujengwa katika kutambua gap lililopo ambalo kimsingi ni baada ya kusoma kazi za watu wengine na kujua wao wameishia wapi ili nawe uendelee zaidi.
Other wise utakuwa unabase kwenye emotions zako kutoa suluhisho la jumla katika huo uandishi wako.
Mwenye kuelewa aelewe, asiyeelewa abaki hivyo hivyo, ninachokizungumza ni haki za uandishi dunia nzima. Huwezi kuchukua kazi ya mtu bila kutoa credit. Hizi kazi zina hakimiliki.
Mwenye kuelewa aelewe, asiyeelewa abaki hivyo hivyo, ninachokizungumza ni haki za uandishi dunia nzima. Huwezi kuchukua kazi ya mtu bila kutoa credit. Hizi kazi zina hakimiliki.
Nahiyo hakimiliki amekupa nani?
Mwenye kuelewa aelewe, asiyeelewa abaki hivyo hivyo, ninachokizungumza ni haki za uandishi dunia nzima. Huwezi kuchukua kazi ya mtu bila kutoa credit. Hizi kazi zina hakimiliki.