Wataalam wa video editing naomba mnisaidie.

Wataalam wa video editing naomba mnisaidie.

nashaa sana matusi ya kimombo, you must change guys

I do agree with ya fella, but when these words come from a man with a signature containing ''F**K" in it, its kinda Ironic, don't you think!! :confused3: 😀
 
Mimi ni mjasiliamali kwa upande wa video shooting. Tatizo langu ni kwamba nime-edit video na baadae kui-burn. Sasa tatizo lake ni kwamba ina-freeze (kuganda), mteja wangu sasa kama vile kitanuka. Ndugu zangu hii kazi sasa ni kama miezi sita tangu nimeanza hivyo sijawa na utaalamu mkubwa. Hivyo naomba msaada wa jinsi gani naweza kufanya marekebisho katika movie hii,

nisaidieni jamani. Na sina shaka msaada jamvini ni kitu cha kawaida.

itakuwa uliburn movie yako kabla render haijamaliza,kama project yako bado iko render yote halafu burn
 
Back
Top Bottom