Kwa mtazamo wangu naona athari za Mheshimiwa Rais Magufuli kuamini kuwa "Engineer" anaweza kufanya kitu chochote sasa zimeanza kuonekana!
Engineer John Kijazi yuko Ikulu kama Katibu Mkuu Kiongozi ambaye ndiye Mkuu wa Utumishi wa Umma (Head of Civil Service).
Katika historia ya Nchi yetu ya Ma-Rais na Makatibu Wakuu wao kuanzia Rais Nyerere na Timothy Apiyo, Rais Mwinyi na John Rupia,Rais Mkapa na Marten Lumbanga,Rais Kikwete na Philemon Luhanjo na Ombeni Sefue hatukuwahi kuona vituko kama hivi vya Rais Magufuli na Engineer John Kijazi!
Watumishi wa Umma "wanaokotwa" vijiweni na kupewa u-DAS na Ukurugenzi wa miji,Halmashauri,na Majiji! Hadi "Baa maid"anateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri!
Naomba kauli ya Wataalam wa Utumishi wa Umma kuhusu sheria zilizofuatwa au kukiukwa katika teuzi hizi,faida na athari zake!
Pili ni hiki kituko cha mtu mmoja kuteuliwa katika nafasi nyingi tofauti ndani ya muda mfupi na kutenguliwa na wakati mwingine kwa kudhalilishwa ndani ya muda mfupi hata kabla ya kuapishwa!!
Ukosefu huu wa umakini uliopitiliza ni wa nani ?! Katibu Mkuu Kiongozi au Rais wetu?!