mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,254
- 4,466
Je, hakuna madai yoyote ya makampuni kuja kudai fidia nchi yetu kwa madai haya ya kuzima mtandao nchi nzima?
Vipi kuhusu usafirishaji wa njia ya bahari na maziwa, sector hizi hazijaathirika na hili
Je, DPW, hawajaathirika na hili? Kama wameathirika, sheria zinasemaje serikali inapoamua tu yenyewe kusababishia hasara makampuni kama haya?
Vipi kuhusu makampuni mengine ambayo hutegemea sana mitandao kuendeshea biashara zake?
Wataalam wa kisheria na uchumi, hili likoje?