Wataalam wa picha

Kuna mbibi momoja juzi nilimkuta na kilemba cha cgagua mkapa, bado kipya hakijachuja kabisa, sijui ccm wanatumiaga material gani!
 
ngoja nitafute ile t-shirt ya MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA halafu nitarudi.
 
Kijana anakula CCM wakati bibi analiwa na CCM ingawaje kijana ni mtafuta sifa (sharobaro) na Bibi ni mleta sifa (mpiga kura).
 
kumbe unataka tafsiri!
ni hivi ukubwa wa umri si chanzo cha mafanikio ila jitihada binafsi huweza kukufanikisha!

mabango staki nimetoa tafsiri nilivyoona...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…