Ufahamu tunatofautiana ni vizuri ukamkosoa mtu kwa lugha ya staha kuliko kumtusi tena kwa kuchanganya lugha
Hivi ni mara ngapi we umekosea na watu wanachukulia poa tu
chukuachako
Punguani wahed
Huyu lazima awe mwafrika tu aliyeandika hivi. Tunapenda sana kupeana shida.