Wataalam wa ngeli njooni hapa

Wataalam wa ngeli njooni hapa

Lopadotemachoselachogaleokranioleipsanodrimhypotrimmatosilphioparaomelitokatakechymenokichlepikossyphophattoperisteralektryonoptekephalliokigklopeleiolagoiosiraiobaphetraganopterygon .
 
Honorificabilitudinitatibus

Pseudopseudohypoparathyroidism

Pneumonoultramicroscopicsilicovolcanoconiosis

Methionylthreonylthreonylglutaminylalanylisoleucine
 
Ahaaaa...umenikumbusha maisha ya skonga tukishindana misamiati tata ili tu kuzua utata
Mfano:
.cantankerous
.highledy-pigleddy
.Concomitant
.Prescriptivist
.Bougoursie
.Lumpenproletariat
 
Sema huelewi tu. Wacha kujidai eti "kilugha cha makabila yao ya ndani", unayajua makabila ya wazungu wewe?

Punguani wahed.
Ufahamu tunatofautiana ni vizuri ukamkosoa mtu kwa lugha ya staha kuliko kumtusi tena kwa kuchanganya lugha

Hivi ni mara ngapi we umekosea na watu wanachukulia poa tu

chukuachako
 
Lugha za wakemia hizo Kiingereza alikua anaongea Fredrick Chiruba Rais wa Zambia enzi hizo Mwenyekiti wa SADC utapenda kuendelea kumsikiliza...
 
Back
Top Bottom