New Nytemare
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 3,400
- 2,572
- Thread starter
- #21
hatua kama zipi kiongoz wangu..Mtazungukaaaa weeee
Ukweli ni kuwa in u a family kuna spirit of death/roho ya mauti,msipochukua hatua utakuja kunambia hapa!!
hatua kama zipi kiongoz wangu..Mtazungukaaaa weeee
Ukweli ni kuwa in u a family kuna spirit of death/roho ya mauti,msipochukua hatua utakuja kunambia hapa!!
shukran ZZ umejuaje manake nna mtihani mtoto wa Khaloo Methna kalimwa talaka vilio moja kwa zote...
Wataalam kuna ndoto tata nimeota kwamba kuna mdogo wangu kafarik..asubui napigiwa simu na dada yangu kwamba kaota mimi na dada yetu mwingine tumefarik..tukamjulisha mama mzaz naye kasema ameota mtoto wa kaka yetu kafarik..Wote tumebak na kitendawili hatujui nini maana ya hizi ndoto...
bithaabt... (exactly) afandeem!!Harusi zipo njiani.Hiyo ID yako inamaanisha nini?
Mmmh hii labda MziziMkavu anaweza sema kitu...sisi walokole hatuamini ktk ndoto
hatua kama zipi kiongoz wangu..
Just missing uMkuu ndo maana nimesema aseme yeye haamini sio walokole.
Walokole tuna amini ktk ndoto, kwasbb Mungu anasema na watu wake kwa nuia tofauti,ikiwemo hii ya ndoto.
Mimi nimekuwa nikisumbuka na ndoto ya kwamba niko na mh. Rais wa sasa na Hii ndoto imejirudia mara 3
Sijajua nini tatizo au maana yake ni nini
Tatizo lenu mnaojiita walokole mlio wengi ni vilaza, na ulokole lazima upate matatizo ya kisaikojia kwanza, ili uondokane nayo unaokoka, ndoto zinatumika sana kama maongozi ya Mungu kwa mwanadamu, Soma habari za yusufu Mwana Wa Yakobo Mwanzo 37:1-9, Soma Ndoto Ya Yusufu Mume Wa B. Maria Math 1:18-25. Siyo lazima kila mada uchangie.
Hii id nimeipenda tu kutokana na kuskiliza nyimbo za lil wayne miaka ya nyumabithaabt... (exactly) afandeem!!
Mkuu NN, karibu sana ..ila subiri nikuletee funga kazi ya ndoto yako !!Hii id nimeipenda tu kutokana na kuskiliza nyimbo za lil wayne miaka ya nyuma
nipe kiongoz maaan mpaka saiv naonachenga chenga tu..Mkuu NN, karibu sana ..ila subiri nikuletee funga kazi ya ndoto yako !!
Wataalam kuna ndoto tata nimeota kwamba kuna mdogo wangu kafarik..asubui napigiwa simu na dada yangu kwamba kaota mimi na dada yetu mwingine tumefarik..tukamjulisha mama mzaz naye kasema ameota mtoto wa kaka yetu kafarik..Wote tumebak na kitendawili hatujui nini maana ya hizi ndoto...
Wataalam kuna ndoto tata nimeota kwamba kuna mdogo wangu kafarik..asubui napigiwa simu na dada yangu kwamba kaota mimi na dada yetu mwingine tumefarik..tukamjulisha mama mzaz naye kasema ameota mtoto wa kaka yetu kafarik..Wote tumebak na kitendawili hatujui nini maana ya hizi ndoto...
Mkuu \NN; habari za mchana...nimekuja ndugu yangu, Nakutaka kwanza uondoe shaka na hofu !! Hiyo ndoto yenu inaashiria kuwa nyie wote kama familia (team) "kuwe lile jambo lenye Utata,Kusemwa, kusemana,mfarakano, kesi au tatizo Litakwisha na kutoweka kabisa"nipe kiongoz maaan mpaka saiv naonachenga chenga tu..
Mkuu ndo maana nimesema aseme yeye haamini sio walokole.
Walokole tuna amini ktk ndoto, kwasbb Mungu anasema na watu wake kwa nuia tofauti,ikiwemo hii ya ndoto.
Simple,if u a christian, ni kuomba toba/rehema then kukataa na kukemea huku ukisimamia maandiko,mfano
Hili andiko nimesahau exactly lipo kitabu gani linasema, 'sintakufa Bali nitaishi 'asema Bwana!
Anaekumbuka hili atuambie lilipo ....
Jana tu nimetoka kuyaona haya@ church usicheze na Lucifer kabisa,ila Mungu kwa rehema zake anatufunulia haya,na nini kinachoendelea kwenye ulimwengu WA roho,the problem is wengi ni wachanga hatuelewi Mungu akiwa anasema na sisi.
hakuna watu wanafiki na wenye roho mbaya kama walokole wa Tanzania.samahani kwa kusema ukweli.