Mimi nimekuwa nikisumbuka na ndoto ya kwamba niko na mh. Rais wa sasa na Hii ndoto imejirudia mara 3
Sijajua nini tatizo au maana yake ni nini
Maana yake nyota yako ameichukua yeye na anaitumia ktk shughuli zake!
Mimi nimekuwa nikisumbuka na ndoto ya kwamba niko na mh. Rais wa sasa na Hii ndoto imejirudia mara 3
Sijajua nini tatizo au maana yake ni nini
Simple,if u a christian, ni kuomba toba/rehema then kukataa na kukemea huku ukisimamia maandiko,mfano
Hili andiko nimesahau exactly lipo kitabu gani linasema, 'sintakufa Bali nitaishi 'asema Bwana!
Anaekumbuka hili atuambie lilipo ....
Jana tu nimetoka kuyaona haya@ church usicheze na Lucifer kabisa,ila Mungu kwa rehema zake anatufunulia haya,na nini kinachoendelea kwenye ulimwengu WA roho,the problem is wengi ni wachanga hatuelewi Mungu akiwa anasema na sisi.
hakuna watu wanafiki na wenye roho mbaya kama walokole wa Tanzania.samahani kwa kusema ukweli.
Kama wewe ni mchawi, mganga wa kienyeji, mfuga majini, msoma nyota, mhirizi, na una vibwengo lazima utoe povu!
Hatuchekei kima sisi! Samahani kwa kusema kweli!
Hadithi njoo uongo njoo utamu koleaaaaaaa
Maana yake nyota yako ameichukua yeye na anaitumia ktk shughuli zake!
Kama wewe ni mchawi, mganga wa kienyeji, mfuga majini, msoma nyota, mhirizi, na una vibwengo lazima utoe povu!
Hatuchekei kima sisi! Samahani kwa kusema kweli!
Harusi zipo njiani.
Hiyo ID yako inamaanisha nini?
Mkuu hawa ndio wanafiki ninaowazungumzia.huwezi kuamini huyu eti nae ameokoka.Kwii kwii kwii..! umenifurahisha sana mpendwa wa Mungu, umetoa povu hadi basi, kweli wokovu ni mgumu kweli kweli, hata chembe ya busara na upendo haipo hadi unamwita binadamu mwenzio kima na kujiona mkamilifu. Kwa taarifa yako wasoma nyota ndiyo walioutangazia ulimwengu kuzaliwa kwa Yesu, Mathayo 2:1-12. Ulimwengu Haukujua Mwokozi Kazaliwa Wapi.
Asante sana mpendwa kwa maneno yako ya kashfa .umethibitisha tabia halisi za walokole.