iko kwenye vitu alivyonunua! yaani vitu alivyonunua vina thamani ya sh 97, deni ni sh 98, kwa hiyo anazo sh 2. moja anayo mkononi, nyingine ndiyo hiyo (deni -vitu) yaani (98-97) = 1. kama atauza hivyo vitu at cost, atapata sh 97, akijumlisha na moja aliyonayo inakuwa jumla 98 analipa deni lote lililobaki, anamaliza.

natumaini umenipata mpendwa

ubarikiwe
k

Karibu upate jitahidi kidogo

k

itu gani hakijaeleweka hapo mpendwa, deni limepunguzwa kutoka sh 100 hadi 98. kwa hiyo katika 98, vilinunuliwa vitu vya 97 na amebaki na sh 1 mkononi, sasa shi 1 unayoitafuta iko wapi?

ufafanuzi zaidi:

50+50 =100,

100-97-1-1=99 ndiyo uliyopata kwa hesabu zako, jumlisha sh 1 aliyonayo mkononi = 100!

tafakari!

ubarikiwe
kwa hiyo Baba anadai sh 49 na Mama sh 49, ukijumlisha unapata sh 98, ukijumlisha na ile sh 1 inakuwa sh 99, sh 1 iko wapi?