jamani mimi sio mtaalam sana wa magari ila najua majadiliano ya hapa yatasaidia kunipa picha ya kuanzia.
Kuna ka gari nataka kukanunua na details zake ziko hivi.
Make: nissan
model: datsun
model no: . GA-QD21
body type: pickup
year of manufacture 1996
ni ya petrol, cc 2000.na reg no yake ni CYP
Hebu nambieni wataalam mliowahi tumia hii gari ipoje? Kwenye spare, uimara na je inahimili ubebaji wa mizigo manake nataka kuitumia kwa biashara za mizigo. Tafadhali nijuzeni kabla sijainunua