Wataalam wa lugha naomba msaada wenu.

Wataalam wa lugha naomba msaada wenu.

Evarist Ngowi

Member
Joined
Apr 27, 2015
Posts
7
Reaction score
0
Kitendo cha mtu kwenda kuchota maji, je anaweza sema nafuata maji? Kiingereza chake ni " to follow water" au " to fetch water? Naomba msaada wenu kutoa utata
 
Ili nikusaidie na siku nyingine usiulize swali NAIVE kama hili naomba utafute topic moja ya Language advance inaitwa Translation and Intepretation halafu utafute na ya Kiswahili inayoitwa Utafsiri na Ukalimani uzisome kwa makini na kina.
 
Back
Top Bottom