Wataalam wa kuagiza magari msaada wenu please

Dodoma moja

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
307
177
Wakuu naomba mnisaidie mi siyo mtaalam sana wa kujua gharama za kuagiza magari na hivyo sizijui vizuri gharama za kununua gari japan had kulifikisha hapa bongo itacost shilingi ngapi, mfano jana nilitembelea website ya beforward nikaona Toyota Funcargo inauzwa dola 887 lakin sijajua gharama zingine had kulifikisha bongo pamoja na ushuru wa bandari itacost shs ngapi?
Naombeni msaada wenu wakuu!!!
 
Gharama za Kuleta Bongo Zinarange kati ya USD 1500 hadi 1800 Kwahiyo andaaa USD 1600( 3.2m)
FunCargo.jpg

Pia Kodi ya TRA andaa kati ya 3.8m hadi 4.3m(kwa hii ya 2004 inabidi uwe na 4.2m)
TRAFUN.jpg


Other Charges( Port Charges,Shiping Lines,PLate No na Agent Fees etc andaa kama Jiwe Tano=0.5m)

Grand Total = 8m.
 
Kama mgeni na hii sekta, bora tu uzame show room ukavute mkoko fasta...
Ayategemee majanga gani labda akiamua kuagiza moja kwa moja labda,na kama kuna namna ya kumsaidia ni vyema wajuzi wakampa ushauri jinsi gani ya kufanya,ili aweze kutimiza ndoto zake.
 
Back
Top Bottom