Wataalam wa ICT Msaada tafadhali! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wataalam wa ICT Msaada tafadhali!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Twilumba, Dec 30, 2010.

 1. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,141
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Wana-JF kuna external hard drive imeingiwa na virus, so folder zote zimeliwa but nikiweka kwny pc yenye ubuntu folder naziona na contents zake zote, ninapojaribu kurudisha kwny laptop yenye window 7 OS folder zote tena hazionekani, nikiscan virus zinaonekana kuwa znakuwa scaned. Naomba ushauri nifanyeje ili ni-retreve hzo folder kama awali kabla ya kuvamiwa na virus?
   
 2. C

  CalvinPower JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 994
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 60
  CONNECT HARD DISK YAKO HALAFU OPEN HIYO DRIVE. KAMA FOLDER ZIPO INAMAANA ZIMEKUWA HIDDEN MAY BE KWASABABU YA VIRUS. OK SOLUTION
  HAPO JUU KUNA MAHALI PAMEANDIKWA "Organise" CLICK halafu NENDA MPAKA MAHALI PAMEANDIKWA "Folder and serch option" itafunguka window nyingine click "VIEW"
  UTAONA MAHALI PAMEANDIKWA SHOW HIDDEN FILES, FOLDERS AND DRIVES. TIC HIYO KITU THEN UNA-APPLY. UKIYAONA MAFODER YAKO UNAWEZA UKAENDELEA NA PROSESI YA KUYAWEKA YASIWE HIDDEN.
   
 3. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,141
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Thx mkuu, nimefanikiwa,umenisaidia mno!
   
 4. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #4
  Dec 31, 2010
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45


  Haya ndio mambo yanayotakiwa hapa JF!! Mtu anakuwa na tatizo analeta hapa kisha linapatiwa ufumbuzi sio malumbano yasio na maana!!, mara ccm mara cdm mara cuf mara mahakama ya kadhi mara ubalazo wa vatican!! Mie mwenzenu nimechoshwa na mijadala kama hiyo, naamua kuipotezea.
   
 5. m

  mzambia JF-Expert Member

  #5
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 885
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Na jinsi ya kuondoa hidden baada ya kuonekana?
   
Loading...