The Intelligent
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 2,459
- 824
Naomba kujua jinsi ya kumtoa mtu kwenye akaunti yako ambaye hapo mwanzo ulimu-add kama friend, hapa nna maana ya kwamba yeye pia asione profile yako kwenye akunti yake, pia namna ya kubatilisha friend request enda ulikosea ku-add friend.