laptop yangu ni mpya kabisa ina miezi miwili tu na niliinunua dukani ina kilakitu chake lkn nashangaa saizi nikiiwasha inapowaka display inakuwa ya black and white inachukua kamuda kidogo hadi kurudi kwenye haliyake ya kawaida.nisaidieni
Afu matatizo mengine kama haya....
Mi naona dawa yake niku rudisha tu ulikonunua
mana kama pc ilikuwa na weakness toka kiwandani mnunuaji ndo nika itengeneze?
Ndo mana tunapewa warranty
haiwezekani ukae na kitu tumiezi tu afu mtu kikuzingue.... Ukipeleka kwa fundi warranty inakuwa haina thamani tena uliko nunua mala oo pc imefunguliwa na vi sababu kibao.......
Over
yap.. kama wadau wengine walivyosema.. kwa vile bado ipo ndani ya warranty usifanye chochote. warudishie dukani. kama hakuna warranty hapo ndio ufanye mautundu..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.