Wataalam wa computer, chungulien hapa.

Wataalam wa computer, chungulien hapa.

IzukeneJr

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2012
Posts
758
Reaction score
753
Nahitaji intel motherbord ya dell latitude 620. Ni jins gan nitajua model yake, na bei zake zkoje kwa sasa.
 
swali lako kidogo linapwaya.Lakini usijali nitakujibu kadri ulivyo uliza:Bila shaka hiyo ni laptop,hivyo si mala nyingi motherbord za laptop mpya kuwepo madukani ila waweza kupata kwa mafundi au maduka ambayo sio maalumu.hivyo bie yake haiwezi kuwa ya hakika bali inategemea na nani mnauziana.
 
nunua laptop nyingine tu utapoteza muda wako
 
Thanks guys, u are great thnkers for sure.
 
Back
Top Bottom