Wataalam wa CCTV camera hapa nchini

Wataalam wa CCTV camera hapa nchini

Idofi

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2010
Posts
2,294
Reaction score
2,008
Wataalam waliobobea katika kufunga security camera, na kuona kila kitu kinachoendelea sehemu yako ya kazi, dukani, ofisini, hotelini na n.k ukiwa popote duniani. Wanao mafundi waliobobea.

Kwa mawasiliano na mo link company..+255 655 991 288 au +255 657 570 788

MOLINK.png
 
View attachment 180847

Me numeshafunga cctv unaweza kunifanyia configuratiom, kwa sababu fundi aliyekuwa akinifungia alisafiri nje ya nchi kabla ajamalizia
 
Wataalam waliobobea katika kufunga security camera, na kuona kila kitu kinachoendelea sehemu yako ya kazi, dukani, ofisini, hotelini na n.k ukiwa popote duniani. Wanao mafundi waliobobea.

Kwa mawasiliano na mo link company..+255 655 991 288 au +255 657 570 788

View attachment 180847

INAONEKANA HAMKO SERIOUS NA BIASHARA YENU, NIMEWASILIANA NA NYIE KWA SIMU TANGIA JUMATANO KWA AHADI YA KUJA OFFICIN KWANGU ALHAMIA, TANGIA ALHAMIS HAMJAJ NA NIKIWAPIGIA SIMU MAJIBU NI KWAMBA MTAKUJA NA WALA HAMJI, HIVI AMJAFANYA KAZI USUMBUFU JE MKISHAFANYA YAKIANZA MATATIZO SIO TUTAKIMBIANA....Mteja Mfalme kama unajua auwezi fika kwenye appointment inabidi umtaarifu mapema ili akafanye shughuli zake

P.S NIKO MBIONI KUTAFUTA MAFUNDI WENGIBE
 
Back
Top Bottom