best bestest
Member
- Apr 23, 2013
- 12
- 1
naomba msaada nina Samsung external hard drive ilikua inafanya kazi vizuri ila ghafla nikiichomeka kwenye computer haisomi wala kuonyesha dalili zozote za kufanya kazi, haiwaki mwanga kama awali, imetulia tu, naombeni msaada wenu tatizo ni nini?