Wataalam njooni tafadhali

Munambefu

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2012
Posts
2,916
Reaction score
7,442
Wadau naomba mnisaidie utaalam.Nina shida na passport ya ndugu yangu aliyeko mkoani na mm nipo Dar.Tutumie njia gani hapo kufanikisha zoezi hilo?
 
Wadau naomba mnisaidie utaalam.Nina shida na passport ya ndugu yangu aliyeko mkoani na mm nipo Dar.Tutumie njia gani hapo kufanikisha zoezi hilo?

Ni pasi ya kusafiria ama passport size picha kiongozi...?.
 
Wadau naomba mnisaidie utaalam.Nina shida na passport ya ndugu yangu aliyeko mkoani na mm nipo Dar.Tutumie njia gani hapo kufanikisha zoezi hilo?

Ni km kukosea kujieleza kwa daktari inaweza pata tiba isiyostahili kwa maekezo yako yasiyoekeweka.
 
Tumia whatsapp kama ni passport size,mkuu tena ni haraka sana,na ni nzuri
 
Ni passport picha wakuu.Nawashukuru sana
 
Ni passport picha wakuu.Nawashukuru sana

Tumia app yoyote ya kuscan, nenda play store au store yako search scan halafu download then scan hio pic. Halafu tumia email kuituma.

Unaweza tumia Whatsapp ila sishauri sababu inaweza kumess na aspect ratio na kupunguza quality
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…