Wataalam nisaidieni kudadavu hii kiti

sinide

JF-Expert Member
Nov 7, 2015
459
483
FB_IMG_1544771760975.jpg
 
Rais wa donor kantre kama.kweli anajiamini ajitokeze aseme chocjote kuhusu maazimio ya hunge la ulaya.

Wazugu ni wastaarabu sana hawawezi kukaa kwa kipindi cha takribani mwezi na nusu wakijadili uhusiano wao na tanzania halafu wapitishe kitu cha kijinga au kitu ambacho wataongea tu kipite bila kutekelezwa na ukawa salama, never, they have big brains ,they care their time and energy, Rais Magufuli kwa usalama wake atekeleze hayo. Tunajua ni mtihani mkun
bwa na mgumu kwake lakini ktk historia yangu ya miaka zaidi ya 30 ya kuishi EU haijaikazia nchi kama yetu. The whites are serious dudes, can't let it go for nothing.
 
Back
Top Bottom