Wataalam naomba utofauti uliopo hapa

Wataalam naomba utofauti uliopo hapa

Vedasto-Zacharia

Senior Member
Joined
Jun 6, 2014
Posts
113
Reaction score
30
Habari za mwaka Mpya wakuu, naomba kujuzwa tofauti za hard disk hizi tafadhali.

Natanguliza shukrani
IMG-20190105-WA0001.jpg
IMG-20190104-WA0001.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante Chief naomba ufafanuzi wa hard disk ndo nataka nifanye manunuzi ya hard disk za transcend za 1TB.

Thanks in advance

Sent using Jamii Forums mobile app
Unatakiwa kwanza ufahamu utofauti baina external hard disk na internal hard disk ni cover tu ila hard disk ni ile ile. Inachukuliwa internal hard disk kisha inavishwa cover na kuuzwa.

Kuhusu hizo HDD cha muhimu ni warranty hapo, tafuta mahala ambapo hata ikiwa mbovu unaweza rudisha. HDD zina failure rate kubwa tofauti na vifaa vingi hivyo kuwa makini ni muhimu.

Pia kuna vitu muhimu vidogo vidogo vinavyohusiana na case kama vile.
1. Usb 3 ni nzuri kushinda usb 2 hasa kwenye uharaka wa kuhamisha vitu, usb 3 inakuwa na rangi ya blue

2. Cover likiwa lina rubber/plastic ngumu ndani na nje ni vyema zaidi ili kuzuia shock ikidondoka.

3. Ikiwa na waya wa external power ni vyema zaidi itakusaidia uki conect na vitu visivyo pc kama simu na tv.
 
Back
Top Bottom