Wataalam naomba kutengenezewa Website kama Hii

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,390
Kwa ufupi. Ninayo domain tayari iko pined na blogspot. nataka kuitengezea website kabisa.

ni website ya habari na matukio ya kila siku.Lugha ni kiingereza na kiswahili.

Nimetazama website mbalimbali lakini binafsi nimependa hii hapa chini
www.tuko.co.ke

Hiyo domain inayo matangazo ya google au lazima kuwe na nafasi kwa ajili hiyo.

Sitaki PM tafadhali

Eleza hapa hapa cost na process mpaka kuipata.

Asante.nipe mifano ya website ulizokwisha tengeneza nk, HAPA HAPA
 
Kumbuka hapa ni Jukwaa la Tech na sio matangazo hivyo unapomwambia mtu aweke Kazi alizowahi kufanya na Bei tayari ni tangazo na umekataa PM.... Kazi yako haishindikani tatizo una masharti mengi na sijui hata kwenye maelewano mtafanikiwa. Site unayozungumzia haina tofauti sana na hii www.naij.com
 
Back
Top Bottom