Wataalam na bunduki

Wataalam na bunduki

Risasi kuua au kutoua nategemea na

..umbali silaha kama SMG hua na umezo aa kuua kuanzia mita 400 kurudi chini(tunaita effective range) zaidi ya hapo kuna uwezekanokubwa wa kujeruhi.

Eneo la mwili ulilopigwa hapa, kichwa na kifua uwezekano wa kupona ni mdogo sana. Tumbo kushuka chini kuna asilimia flan ya kupona.

Risasi baada ya kupiga ilitoka nje au ilibali ndani ?? Kama ilitoka nje kuna ywezekano. Wa kuharibu tissue za mwili na kupoteza dam nyingi kusababisha kifo. Ikibaki ndani ahueni.
 
...hebu tuchukulie Bastola kwa mfano. Wajuzi wanasema zinapimwa kwa Kipenyo na Velosity ya risasi yake, zikijulikana hivi:
.28
.38
.45

Kwamba hiyo 28 bi ya chini kabisa na mtu unaweza ukapigwa sehemu hata za kichwa uka-Survive, lakini hiyo 45 ndio baba lao mwisho wa maneno maana hata ukipigwa Moja tu tumboni Unaanza Safari...!
Inategemea na umbali mkuu ambapo tunaita effective range ukipigwa uhakika wa kupona ni mdogo
SMG mitta 400
Uzigun
 
...hebu tuchukulie Bastola kwa mfano. Wajuzi wanasema zinapimwa kwa Kipenyo na Velosity ya risasi yake, zikijulikana hivi:
.28
.38
.45

Kwamba hiyo 28 bi ya chini kabisa na mtu unaweza ukapigwa sehemu hata za kichwa uka-Survive, lakini hiyo 45 ndio baba lao mwisho wa maneno maana hata ukipigwa Moja tu tumboni Unaanza Safari...!
Itategwmea na effective range yaani kila silaja ina umbali ambapo ukipigwa kwa asilimia kubwa inakuua
SMG mita 400
Uzi gun mita 300
Pisto mita 100
 
Kama ulivyoona kwa ashrafu pasha ndivyo hivyohivyo,mtoa mada boya sana kaona ktk azam tv meja jevdet akiisabu hatua,alafu yeye anajifanya kama tukio la lisu acha uzwazwa ile ni picha yakuigiza ujasusi kuna mengi yauongo mengine yakweli
 
Unaposema ''upendo wa Mungu'' una maana gani? Ina maana anayepigwa na kufariki basi Mungu hana upendo naye? Nadhani huwa tunakosea tunaposema vifo au uzima ni mapenzi ya Mungu. Mungu alitupa akili na utashi ili tuweze kutawala dunia. Alituumba kwa mfano wake. Sasa ikitokea mtu akipigwa risasi tumboni na akapona basi yule atakuwa amepona kwa sababu ile risisa haikuharibu viungo muhimu na damu haikuvuja kwa wingi/aliwahi matibabu.
Mungu hakumpa mwanadamu Utashi,matokeo ya dhambi ni chanzo cha utashi wa mwanadamu.
 
Mtoa mada sio boya, boya unaweza kuwa wewe kupitia uchafu wako huu uliouweka.....Unasemaje vitu uvijuavyo wewe ndio nivifikiriavyo mimi?
Kama ulivyoona kwa ashrafu pasha ndivyo hivyohivyo,mtoa mada boya sana kaona ktk azam tv meja jevdet akiisabu hatua,alafu yeye anajifanya kama tukio la lisu acha uzwazwa ile ni picha yakuigiza ujasusi kuna mengi yauongo mengine yakweli
 
lissu amepigwa risasi tumboni kushuka chini,angepigwa kifuani tungeshamsahau sorry.
Issue ya Lissu Mungu alitaka kuwaonyesha miujiza watu wasiojulikana,kupona kwa lissu ni muujiza maana alipoteza damu zaidi ya 90%,kitendo cha kupoteza damu nyingi uwe umepigwa kidoleni au kwenye unyayo nacho kupona ni "BAHATISHA NDULUTE".
 
Alipona kwa sababu zile risasi azikumfikia direct zilikua zinapiga mlango wa gali yake zinatoboa ndio zina mfikia yeye
Kama zingemfikia direct from the gun risasi moja tu ingemuua palepale maana ingevunja kila kitu na kutokea upande wa pili
 
Mtaje kwa jina kama kweli unafanya HIPhop
Alipona kwa sababu zile risasi azikumfikia direct zilikua zinapiga mlango wa gali yake zinatoboa ndio zina mfikia yeye
Kama zingemfikia direct from the gun risasi moja tu ingemuua palepale maana ingevunja kila kitu na kutokea upande wa pili
 
kwanza risasi hua zina kemikali za sumu kwetu kuna mtu alipigwa moja tu tena ilimchana tu haikuingia ndani kabisa lkn alikufa kabisa
 
Back
Top Bottom