Wataalam na bunduki

Wataalam na bunduki

inategemea na factors ila ni baada ya ku analyse tukio

pia risasi zmeundwa kwa material tofauttofaut na impact almost ztakua tofaut pia
 
Risasi inapigwa kifuani kwenda juu kama mlengaji yupo vizuri atakukong'oli kichwani kwnye ubongo..

Ikija tumboni ni bahati mbaya kwa mlengaji na mlengwaji na kufa ni hivyo hivyo unaweza kufa ama usife ila kichwani haidanganyi....

Huangaliagi movie za kina nanii.
 
Kuna watu wanajizindika..naona mnafanya kujisahaulisha




Utakuta Kuna boya anabisha et haiwezekani
 
Kupona au kufa hutegemea
1:Upendo wa Mungu
2:Eneo likiloshambuliwa madhara kua kiasi.
Unaposema ''upendo wa Mungu'' una maana gani? Ina maana anayepigwa na kufariki basi Mungu hana upendo naye? Nadhani huwa tunakosea tunaposema vifo au uzima ni mapenzi ya Mungu. Mungu alitupa akili na utashi ili tuweze kutawala dunia. Alituumba kwa mfano wake. Sasa ikitokea mtu akipigwa risasi tumboni na akapona basi yule atakuwa amepona kwa sababu ile risisa haikuharibu viungo muhimu na damu haikuvuja kwa wingi/aliwahi matibabu.
 
Unapona vizuri tu watu wanapigwa shaba ya kichwa na wanapona
 
Kama ikitokea umepigwa risasi 2 tumboni bila kuathili mfumo wa uti wa mgongo,unaweza kupona maana utumbo ni nadra sana kuthuliwa na risasi
 
...hebu tuchukulie Bastola kwa mfano. Wajuzi wanasema zinapimwa kwa Kipenyo na Velosity ya risasi yake, zikijulikana hivi:
.28
.38
.45

Kwamba hiyo 28 bi ya chini kabisa na mtu unaweza ukapigwa sehemu hata za kichwa uka-Survive, lakini hiyo 45 ndio baba lao mwisho wa maneno maana hata ukipigwa Moja tu tumboni Unaanza Safari...!
 
Hivi ukipigwa risasi mbili tu, TUMBONI hivi unapona?

Mpka sasa kuna jambo silielewi
Uwezekano wakufa ni mdogo,utumbo huteleza,ndiyomaana walengaji shabaha hulenga kifuani kuelekea juu,yaani kichwani,hata hivyo inategemeana na aina ya silaha.
 
Lissu sijui aliponaje,kwakweli amshukuru Mungu.
 
Cause of death kwa watu waliopigwa risasi ni bleeding..
Sasa ukipigwa risasi ya tumbo kama haujapigwa kwenye major blood vessel basi probability ya kupona ni kubwa kama ukiwahi hospitali...

Maana utumbo unaweza kutoboka lakini usife fasta kiasi hicho kama hautoki damu sana..
 
Back
Top Bottom