Wataalam na bunduki

Wataalam na bunduki

Lissu alipigwa risasi 16 na amepona, akwelina alipigwa risasi moja tu kwa bahati mbaya lakini alikufa, sasa tuanzie hapo mjadala, Mungu pia yupo
lissu amepigwa risasi tumboni kushuka chini,angepigwa kifuani tungeshamsahau sorry.
 
Mkuu ni bunduki gani unayoizungumzia? Maana risasi moja huwa inachakaza...
mkuu tumboni ni sehemu isiyo na uhakika moja kwa moja,hasa kama risasi haitapita kwenye uti wa mgongo,uwezekano wa kupona ni 75%

balaa ni hapo kifuani kwenda juu.
 
Hahahha... Just imenibid nicheke.

Kwanza niseme impact ya risasi kutegemea yafuatayo.

Umbali alipo mpigaji, kuna ambali wa kuua na umbali wa kujeruhi (hapa ukiweka fact kwamba ampiga kichwa au wapi).. Kuna umbali ukiwepo risasi inajeruhi tu. Humu itaingia na aina ya silaha iliyotumika a. Kuna zingina mtutu wake ni mpana hivo risasi kubwa ndio utumika, hivyo huwa na madhara toafuti.
b. Nguvu ya silaha, nguvu zinatofautiana sana kati ya silaha moja na nyingine, usitegemea P90 ikafanana na smg, Gpmg ikafanan na Lmg.

Sasa risasi imetokea nje, yani umelengwa na risasi ikapitiliza kwemye eneo kama tumbo, kifua hiyo ni habari mbaya, maana hizi huwa zinafumua, zina leta uharibifu mkubwa katik tissue za mwili na kupelekea upotevu mkubwa wa damu pia kwa muda mfupi
(only GOD save u hapo)
 
Sielewi mwanasiasa yule walitumia bunduki gani, sio mchezo mtu kuchomoka mzima

Back
Top Bottom