Tsidikeu JF-Expert Member Joined Oct 7, 2012 Posts 1,312 Reaction score 890 Oct 13, 2016 #1 Wakuuu na wataalam humu ndani poleni na majukumu....jamani nisaidieni,haka ka simu kangu nimekaflashi mwenyewe lakini touch screen haifanyi kazi vizuri,yani uki touch sehemu unapohitaji yenyewe inatouch kwingine kabisa,msaada pls Wakuu.
Wakuuu na wataalam humu ndani poleni na majukumu....jamani nisaidieni,haka ka simu kangu nimekaflashi mwenyewe lakini touch screen haifanyi kazi vizuri,yani uki touch sehemu unapohitaji yenyewe inatouch kwingine kabisa,msaada pls Wakuu.
Tsidikeu JF-Expert Member Joined Oct 7, 2012 Posts 1,312 Reaction score 890 Oct 13, 2016 Thread starter #2 If anybody here!!!
figganigga Platinum Member Joined Oct 17, 2010 Posts 27,812 Reaction score 63,268 Oct 13, 2016 #3 Haijapasuka touch? Au imeingia maji nahisi. Hayo mambo yalishawahi kunisababishia hilo tatizo
Tsidikeu JF-Expert Member Joined Oct 7, 2012 Posts 1,312 Reaction score 890 Oct 13, 2016 Thread starter #4 figganigga said: Haijapasuka touch? Au imeingia maji nahisi. Hayo mambo yalishawahi kunisababishia hilo tatizo Click to expand... Hapana mkuu...ilikuwa vizuri tu kabla ya kuiflash sa sijui nini hiki....!
figganigga said: Haijapasuka touch? Au imeingia maji nahisi. Hayo mambo yalishawahi kunisababishia hilo tatizo Click to expand... Hapana mkuu...ilikuwa vizuri tu kabla ya kuiflash sa sijui nini hiki....!