Nimewasha computer yangu yangu ni desktop aina ya dell Lakini inaniletea ujumbe huu shida Nini hapa wadau na nasolve aje ?
Maana kisukari kishapanda hapa
Try this, Zima pc toa kwenye umeme, kwenye motherboard toa CMOS( ki betri kdogo Kama Cha saa). Ukishatoa , shikiria button ya kuwashia kwa muda wa seconds 30. Alaf achia, Sasa connect disk peke yake, na keyboard na mouse alaf chomeka kweny umeme uashe Tena. Ikikata ku boot, video card kweny motherboard imeharibka