Wataalam Mnielimishe kuhusu Wagner Vs POLAND

DeepPond

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
43,311
Reaction score
109,418
Wakuu,
Tumeshuhudia Vikosi vya WAGNER walioko belarus wakifanya mazoezi mpakani mwa Poland, Nayo Poland wakaamua kufanya mazoezi mpakani belarusi.

Moja kwa haya Ni mazoezi ya utayari kwa pande zote mbili, na hii tensheni isipomalizwa kidiplomasia, basi lolote Lile linaweza kutokea kuanzia hivi Sasa.

Sasa swali langu Ni kwamba:

Je, Endapo Vikosi vya Wagner wataanza mapigano dhidi ya vikosi vya Poland, Afu NATO wakaingilia Kati na kumsaidia Poland.

1. Je hiyo Vita itahesabika Ni NATO dhidi ya WAGNER au NATO dhidi ya URUSI? Sababu urusi ndo mdhamini mkuu wa Wagner?

2 je hiyo Vita itahesabika Ni poland dhidi ya Belarus? maana wote NATO na Wagner wako kwenye ardhi ya Poland na Belarus?

3. Je hiyo Vita itahesabika Ni NATO dhidi ya Belarus? maana inaonekana mamluki wa Wagner wanahifadhiwa na ndani ya belarus na serikali ya lukashenko imeridhia?

Nawasilisha
 
Je hiyo Vita itahesabika Ni NATO dhidi ya WAGNER au NATO dhidi ya URUSI?
Wajuvi wanakuja
 
Wakuu,
Tumeshuhudia Vikosi vya WAGNER walioko belarus wakifanya mazoezi mpakani mwa Poland, Nayo Poland wakaamua kufanya mazoezi mpakani belarusi.

Moja kwa haya Ni mazoezi ya utayari kwa pande zote mbili, na hii tensheni isipomalizwa kidiplomasia, basi lolote Lile linaweza kutokea kuanzia hivi Sasa.

Sasa swali langu Ni kwamba:

Je, Endapo Vikosi vya Wagner wataanza mapigano dhidi ya vikosi vya Poland, Afu NATO wakaingilia Kati na kumsaidia Poland.

1. Je hiyo Vita itahesabika Ni NATO dhidi ya WAGNER au NATO dhidi ya URUSI? Sababu urusi ndo mdhamini mkuu wa Wagner?

2 je hiyo Vita itahesabika Ni poland dhidi ya Belarus? maana wote NATO na Wagner wako kwenye ardhi ya Poland na Belarus?

3. Je hiyo Vita itahesabika Ni NATO dhidi ya Belarus? maana inaonekana mamluki wa Wagner wanahifadhiwa na ndani ya belarus na serikali ya lukashenko imeridhia?

Nawasilisha
Putin kaona kifo chake kime karibia sasa kaona aondoke na wengine analeta choko choko kwenye nchi ya NATO kipigo atakacho kipata hakijawahi tokea toka hii dunia iumbwe na mbwa yeyote anae sapoti uRusi atakula chuma wakaungane na malaika mzima mtandao uko kuzimu
 
.
20230426_165053.jpg
 
Sidhani kama kweli Urusi n mdhamini mkuu wa wegner, watu wengi wameifahamu hy wegner kwenye vita ya Urusi na Ukraine lkn hy haina maana kwamba wegner yupo chini ya Russia.
Ht ww unaweza kuwachukua hao wegner ili kutimiza jambo lako na unawalipa.
 
Putin kaona kifo chake kime karibia sasa kaona aondoke na wengine analeta choko choko kwenye nchi ya NATO kipigo atakacho kipata hakijawahi tokea toka hii dunia iumbwe na mbwa yeyote anae sapoti uRusi atakula chuma wakaungane na malaika mzima mtandao uko kuzimu
Mlisema hv tangu vita dhidi ya Ukraine, ila jamaa bado yupo sana anaendelea kucheza na akili zenu
 
Baada ya kujikwamua kwenye makucha ya Urusi, Poland iliwekeza sana kwenye jeshi lake. Jeshi la poland sasa linaweza kuwapiga Urusi kirahisi sana kwani wa wamenunua silaha nyingi sana kutoka Korea Kusini, Marekani, Germany na Ufaransa.
 
Wakuu,
Tumeshuhudia Vikosi vya WAGNER walioko belarus wakifanya mazoezi mpakani mwa Poland, Nayo Poland wakaamua kufanya mazoezi mpakani belarusi.

Moja kwa haya Ni mazoezi ya utayari kwa pande zote mbili, na hii tensheni isipomalizwa kidiplomasia, basi lolote Lile linaweza kutokea kuanzia hivi Sasa.

Sasa swali langu Ni kwamba:

Je, Endapo Vikosi vya Wagner wataanza mapigano dhidi ya vikosi vya Poland, Afu NATO wakaingilia Kati na kumsaidia Poland.

1. Je hiyo Vita itahesabika Ni NATO dhidi ya WAGNER au NATO dhidi ya URUSI? Sababu urusi ndo mdhamini mkuu wa Wagner?

2 je hiyo Vita itahesabika Ni poland dhidi ya Belarus? maana wote NATO na Wagner wako kwenye ardhi ya Poland na Belarus?

3. Je hiyo Vita itahesabika Ni NATO dhidi ya Belarus? maana inaonekana mamluki wa Wagner wanahifadhiwa na ndani ya belarus na serikali ya lukashenko imeridhia?

Nawasilisha
Ni vigumu Wagner , Belarus na Russia kujaribu kuvamia Poland kwa kuwa watakuwa wametangaza Vita vya moja kwa moja .

Urusi iliivamia Ukraine kwa kuwa hakuwa NATO Wala EU maana ibara ya Tano ya mkataba wa NATO unasema ukiivamia nchi mojawapo iliyo katika muungano huo wa kujihami utakuwa umevamia wote na wote watawajibika kukushambulia eg , Afghanistan na Iraq .

Rais wa Belarus Kama alivyoitwa na o Obama kuwa ndio dictator wa mwisho wa ulaya ameshajionea kilichompata Russia japo alikuwa na nguvu kubwa kuliko yeye .

Belarus amepewa nyuklia capabilities Ila Bado hajafikia uwezo wa kuzitumia ,

Belarus bado inamatatizo mengi ya ndani tofauti na urusi na uchumi kiduchu si dhani Kama anaweza kujaribu zaidi ya kutisha tu .

USSR
 
Ndio na Kuna base nyingi za NATO hapo sioni Kama Belarus anaweza kujaribu

USSR
Baada ya kujikwamua kwenye makucha ya Urusi, Poland iliwekeza sana kwenye jeshi lake. Jeshi la poland sasa linaweza kuwapiga Urusi kirahisi sana kwani wa wananunua silha kutoka Korea Kusini, Marekani, Germany na Ufaransa.
 
Putin kaona kifo chake kime karibia sasa kaona aondoke na wengine analeta choko choko kwenye nchi ya NATO kipigo atakacho kipata hakijawahi tokea toka hii dunia iumbwe na mbwa yeyote anae sapoti uRusi atakula chuma wakaungane na malaika mzima mtandao uko kuzimu
Naona mkuu kama Khadija kopa ❤️ vile...!!!
 
Mlisema hv tangu vita dhidi ya Ukraine, ila jamaa bado yupo sana anaendelea kucheza na akili zenu
Mlitangaza OP ya 72 hrs na kupeleka wanajeshi 130,000 mpakani mwa Ukraine na limsafara la km 64 kuelekea Kyiv
kilicho tokea sasa hata wewe mwenyewe hutaki kukumbuka maana ule msafara uligeuzwa majivu na kurudi mipakani uko siku hiz mnashambulia kwa kuvizia kwa kurusha makombora ya masafa marefu na hii ni kwa sababu vita vya ana kwa ana mlishindwa toka mwanzo..
 
Back
Top Bottom