muhandu
JF-Expert Member
- Sep 25, 2011
- 311
- 82
Umenikusha-Swahili civilizationNdugu JTB, sijui kama ulimsikia Raisi Museveni katika hotuba yake alipokuwa CHATO, alipozungumzia wale watanzani waliokuwa wakipeleka biashara Uganda hata kabla ya Mkoloni kuja kututawala, kuwa walikuwa wakiitwa WAUNGWANA. hao waswahili unaowataja ndio hao hao walokuwa wakichukua hizo biashara kutokea Bagamoyo mapak huko, Na ndio hao hao walioanzisha mfumo wa kugombea uhuru wetu, na ndio hao hao waliojua na kuamua kuwa uhuru wa Tanzania hautaletwa na waswahili peke yao, na ndipo wakafikiria how to get INCLUSIVITY, na wakamua Nyerere anafaa.
Waswahili ama watu wa cost ni wakarimu sana na wapenda amani, hebu angalia the most peaceful cities in Tanzania utaona ni TANGA, DAR (kable ya kiala aina ya watu kuja),Pwani, Lindi, Mtwara, na kote huku ni kwa waswahili.
Ustarabu wa pwani ulivuma baada ya kuwa na mahusiano na wageni kutoka nchi ingine za NNE ambao walikuja kufanya biashara na watu wa pwani