Wasukuma Vunja Mbavu Sanaa!!!

Wasukuma Vunja Mbavu Sanaa!!!

dala dala

Senior Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
106
Reaction score
105
Kuna jamaa (Msukuma) alibahatika kusafiri kutoka Kijijini kwake kwenda sehemu ya mbali kidogo. Wakati wa kurudi ilimbidi apige lapa (atembee kwa mguu) sababu usafiri aliotumia wakati wa kwenda ulikuwa ni msaada tu a.k.a lift. Baada ya kurudi kijijini kwake akawa anawahadithia ndugu na jamaa jinsi alivyosafiri. Alipoulizwa ulipanda gari gani wakati wa kwenda....jamaa akawa mkali, "Nakwambia mimi sikupanda GARI nilipanda SCANIA".........Tehe teeheeeeeee, kwa hiyo jamaa akaendelea kukana kabisa hakupanda gari bali alipanda SCANIA. Hadi naondoka eneo la tukio jamaa alibaki na msimamo wake kuwa hajapanda GARI ila alipanda SCANIA!!! Wasukuma bwanaaaaa!!!
 
Nani Lumumba? Never on Earth! Huu sio uwanja wa siasa ndg. Hapa ni sehemu ya jokes au umepotea njia? Sio kila kitu ni siasa. Sijafurahishwa nawe Buhimba kuniita Lumumba. Unless uelewa ni tatizo
 
Msukuma katisha dah

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Olile shi! Name angepanda geregeta angesemaje?
 
Kuna jamaa (Msukuma) alibahatika kusafiri kutoka Kijijini kwake kwenda sehemu ya mbali kidogo. Wakati wa kurudi ilimbidi apige lapa (atembee kwa mguu) sababu usafiri aliotumia wakati wa kwenda ulikuwa ni msaada tu a.k.a lift. Baada ya kurudi kijijini kwake akawa anawahadithia ndugu na jamaa jinsi alivyosafiri. Alipoulizwa ulipanda gari gani wakati wa kwenda....jamaa akawa mkali, "Nakwambia mimi sikupanda GARI nilipanda SCANIA".........Tehe teeheeeeeee, kwa hiyo jamaa akaendelea kukana kabisa hakupanda gari bali alipanda SCANIA. Hadi naondoka eneo la tukio jamaa alibaki na msimamo wake kuwa hajapanda GARI ila alipanda SCANIA!!! Wasukuma bwanaaaaa!!!

Ludumi lo noko! Lekagi tuja...
 
Mlena-mashi-obheng'we-mloshindo-Ango?

"To know the enemy is half the victory"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom