Wasukuma nini maana ya .....

SWEET GIRL

JF-Expert Member
Dec 29, 2011
520
377
Tafadhali wasukuma mlioko kwenye jamvi hili naomba mniambie maana ya neno "NAHINZA" OR "NAVINZA" sijui linavyotamkwa kama unaweka h au v hapo katikati.Thanx.
 
mh sasa sijui ipi hasa maana yake coz AZA anasema ni "KITU KIZURI" au 'KITU KINACHOVUTIA" na Billie ansema ni "AKUJA" so am a bit confused!
 
Hakuna maneno kama hayo kwa kisukuma mm ni msukuma c wa kubahatisha,na ni mtaalam wa lugha na nimeshiriki mwaka 2002 bujora museum kuandika kamusi ya kisukuma-kiingereza,kama illustrator na mtaalamu,mtafiti wa lugha,hakuna neno kama hilo ktk kisukuma au umekosea kuliandika au ulisikia vibaya

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
mi pia naunga mkono hoja,ni msukuma pure ila sijawah sikia neno kama hilo.
 
Back
Top Bottom