ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 15,774
- 35,994
Wasukuma wana mioyo ya plastic
Wao kila kitu ni " no taabu"
CCM Jana wameenda wakawajaza kwenye malori kama mifugo kwenda kwenye mkutano wa Hangaya
Kwenye malori wamepakia hadi watoto wa shule, watu wamepata ajali na kufa
Hivi hii jamii inashindwa kuhoji binadamu anapanda vip lile Lori chakavu
Kwanini wasiende Kwa matakwa Yao au basi hata kama wanasombwa, wasombwe Kwa mabasi au coaster
Huu ujinga ukiuleta huku Kagera hutawapata watu kwanza watakupiga mawe