Mkuu mimi ni msukuma asilia,ila napingana sana na hawa watu,ni wababe sana,na wamejawa mila za ajabu,huku nilipo kuna utaratibu mtu mwanamke kama yuko mimba na bahati mbaya ikatoka,nzengo nzima hakuna kulima siku hiyo wala kushika jembe,faini ni sh 50,000 ukikaidi,wao wanaita Kupoja magembe, sasa mimi huwa nawauliza vipi kwa mjita,mkulya,mjaluo ambaye anaishi kwa jamii yetu Nate anahukumiwa na hii tamaduni!?
hawa wasukuma wapuuzi kabisa,na wanahitaji elimu ,ila mimi mbishi sana huwa napelekeshana nao sana hadi wananyoosha mikono,wengi wao hawana elimu Bali ujuaji wa kishamba tu.
pambana nao hao