JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,966
Wapo mtakaoniita mbaguzi ila ukweli utabaki nyumbani ni nyumbani lazima upapatie kipaumbele. Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wa kisukuma kuoa wanawake wa makabila mengine na kutupilia mbali utamaduni wa kurudi nyumbani kupata mke, wengi wanakimbilia uchagani, kabila lisilokubalika na wazee wengi wa kisukuma, leo nawauliza dada zenu wataolewa na nani kama hamtaki kurudi kuoa nyumbani? Kama ni usomi tu dada wa kisukuma wamepiga shule si mchezo, vijana wenzangu wa kisukuma rudini mkaoe kwenu, dada zenu kwa sasa wamebaki kuzalia nyumbani tu, ni wasimbe kama mnavyojua, nani atawaoa kama mnakimbilia uchagani?