Ukiona hivyo huyo mwanamke anaeishi na huyo mwanaume wa kisukuma atakuwa ni chasaka siyo Msukuma mwenzie[emoji108] Mwanaume wa kisukuma akioa Mwanamke ambaye ni Msukuma mwenzie huwa na mfumo dume vibaya sana, huwa msumbufu sana kutotulia lakini akioa Kabila lingine adabu mbele! Waulize wanawake wa kisukuma baadhi waloolewa na wasukuma wenzao watakupa ushuhuda !