MADAXWEYNE
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 1,594
- 3,447
Yesu alisema Amri Kuu nawaachieni... "UPENDO" uwa namkubali sana huyu Nabii aliona mbali sana. Al Shabaab, Al Qaeda, LRA, Siasa chafu na wengineo ni matunda ya kukosa upendo.
ina maana sasa wameamua kujilipua kabisa??
aisee kuna vitu ukijiingiza lazima uwe na akili ya ziada
Ni kweli iyo picha mleta mada kadanganya,kinachoonekana kupitia citizen ni moshi ukifuka juu ya jengo ila sio mlipuko na wanajesh wa kenya wametaharuki wakizunguka hapa na pale.Poleni sana wakenyaHiyo sio picha ya wastegate na haijalipuka bali umesikika mlipuko na moshi mzito kutoka ndani na milio ya risasi. Tuache upotoshani
Dada sio akili ya ziada bali uwe kama mwendawazimu kabisa!!!!
Wamarekani hawajapeleka askari wap. Sana sana wamepeleka washauri tu.
Sio jengo zima ni sehemu ndogo juu ya jengo ndio inafuka moshiTupe update jengo zima limelipuka au? Kweli watoto ni mashababi.
Ni kweli iyo picha mleta mada kadanganya,kinachoonekana kupitia citizen ni moshi ukifuka juu ya jengo ila sio mlipuko na wanajesh wa kenya wametaharuki wakizunguka hapa na pale.Poleni sana wakenya
Siku tatu yaani masaa 72 bado wanapambana...Poleni :- Al-Shabab walifikaje hapo katikati ya Nairobi na Kenya in general maana wameacha mipaka na miji yote na kutinga NBR. itakuwaje Kenya ilidharau ONYO la shabab...? Nasikia CIA FBI na ISRAEL agents wameingia katika uwanja wa mapambano security forces zinashindwa nini na vijana 9 au 10 ...! Halafu tatizo ni mchana kweupe wanashindwa nini ?
Ee mwenyezi mungu tunusuru waja wako.Wanajamvi,
Hivi sasa wastagate imelipuka na kutoa moshi mkubwa
Jambo lililostua watazamaji na police walioko nje kupokea maelekezo na kukimbia kwenye maeneo yanayozunguka
Police na magari yakifanya operation kubwa.
Watangazaji wamesema tutazame hawawezi toa maelezo ya kulikoni wanasubiria mamlaka husika itoe taarifa ya mlipuko huo mkubwa.
magari ya kuzima moto na police wanatamka pishapisha
citzen tv live from wastgate
Wanajamvi,

Taarifa za awali zilisema mateka wengi wamekuwa rescued sasa wanashindwa kwenda na ovaloli bulletproof kama zile za walina asali wawasake chumba kwa chumba yani watoto 14 wanasumbua vikosi vya ulinzi,mosadi,fbi,swat???