mshumbue-soi
JF-Expert Member
- Aug 28, 2013
- 1,842
- 1,148
Tupe update jengo zima limelipuka au? Kweli watoto ni mashababi.
hao waisraeli na wamarekani wanafanya nin sasa huko??
Hiyo sio picha ya wastegate na haijalipuka bali umesikika mlipuko na moshi mzito kutoka ndani na milio ya risasi. Tuache upotoshani
Kumbe sio picha ya tukio? Ila nimeskia pia kumelipuka, mayb mleta mada katuwekea hiyo picha kuonesha msisitizo tehtehHiyo sio picha ya wastegate na haijalipuka bali umesikika mlipuko na moshi mzito kutoka ndani na milio ya risasi. Tuache upotoshani
Yesu alisema Amri Kuu nawaachieni... "UPENDO" uwa namkubali sana huyu Nabii aliona mbali sana. Al Shabaab, Al Qaeda, LRA, Siasa chafu na wengineo ni matunda ya kukosa upendo.
ina maana sasa wameamua kujilipua kabisa??
aisee kuna vitu ukijiingiza lazima uwe na akili ya ziada