Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,245
- 90,421
Nimesoma comments za huu Uzi,wabongo kweli wamemchoka
Hahahaaa halafu ilipiga kwenye main switchNaona kama mwili wake ulikuwa na shoti... anafanyiwa wiring...
lipi?Alikutwa na lile lisagaji chumbanii ,,anapenda mambo ya vikojoleo
Si Ndo hapo wakati kuna watu wanashida na hawana uwezo Hata ya kwenda hospital yeye tu anataka achangiwe mamilion!Huyu nae kuumwa kwake anafanya tukio la taifa, watanzania wote tusononeke...mswahili sana

Huyu nae kuumwa kwake anafanya tukio la taifa, watanzania wote tusononeke...mswahili sana






