Wastara Msese ndo host bora wa vipindi vya michezo

chai ya rangi

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2026
Posts
1,041
Reaction score
3,091
Mimi sio msikilizaji na mfuatiliaji wa vipindi vya michezo lakini nikikuta Wastara Msese wa EATV akiwa ana host kipindi lazima nisikilize hadi mwisho.

Wastara ana charisma kwenye angle hiyo na ninamuweka namba moja kwenye watangazaji wote wa vipindi vya michezo hapa bongo. anashika namba moja.

kuanzia Sauti hadi namna ya ku present ujimsikiliza kwenye redio au kwenye Tv lazima utaendelea kumsikiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…