Wastaafu nchini walipigwa changa la macho pension kuongezwa kwa 100% budget ya 2015/16

Retina

JF-Expert Member
Mar 6, 2015
1,039
1,163
Serikali ilifanya uongo kujipatia kura kwa wastaafu kuwa ingeongeza pension kwa wastaafu kwa 100% mpaka leo hawajaongezewa wala kuona mabadiliko ya pension zao wala dalili za kulipwa arrears zao.

Wastaafu kupitia mfuko wa pspf wanahaha kila kukicha kuulizia ni lini watalipwa.

Ni lini serikali ya CCM itatimiza ahadi zake, mbona mnawadanganya wastaafu au mlikusudia nini?
 
Last edited by a moderator:
unaweza kulaumu serikali ila tatizo ni hawa wabunge wetu wamekaa kuwaza posho sio ccm wala wapinzani huwa hawafatilii vitu vinavyopitishwa na bunge ndio maana utakuta vitu tofauti wabunge wanatakiwa kufatilia vitu wanavyopitisha wakati wa bajeti
 
Serikali ilifanya uongo kujipatia kura kwa wastaafu kuwa ingeongeza pension kwa wastaafu kwa 100% mpaka leo hawajaongezewa wala kuona mabadiliko ya pension zao wala dalili za kulipwa arrears zao.Wastaafu kupitia mfuko wa pspf wanahaha kila kukicha kuulizia ni lini watalipwa.Ni lini serikali ya ccm itatimiza ahadi zake,mbona mnawadanganya wastaafu au mlikusudia nini?
Kwani bunge limeshaanza shughuli zake?? Mana serikali haiwezi pandisha malipo yoyote bila kuwa imepitishwa bungeni. Acha kuweweseka.
 
unaweza kulaumu serikali ila tatizo ni hawa wabunge wetu wamekaa kuwaza posho sio ccm wala wapinzani huwa hawafatilii vitu vinavyopitishwa na bunge ndio maana utakuta vitu tofauti wabunge wanatakiwa kufatilia vitu wanavyopitisha wakati wa bajeti
ni wabunge wa ccm mkuu@rodrick alexander
 
ni wabunge wa ccm mkuu@rodrick alexander
nimekwenda ardhi kulipia kodi ya ardhi, kwenye bunge la bajeti walitaja aina mbili za kodi moja ni mashamba ambayo surveyed ,yana title lakini ni non commercial na mashamba surveyed yana title lakini commercial nilipofika wizarani nikakuta farm within town boundaries na farm outside town boundaries nikawauliza mbona wazir kwenye bajeti yake hakuongelea hicho kitu alichoongea ni kingine hata bajeti ya wizara yake hawajui inasemaje badala ananionyesha mwongozo wa wizara kuhusu viwango vya kodi hapo ndio utajua udhaifu wa wabunge bila kujali ccm au ukawa
 
Serikali ilifanya uongo kujipatia kura kwa wastaafu kuwa ingeongeza pension kwa wastaafu kwa 100% mpaka leo hawajaongezewa wala kuona mabadiliko ya pension zao wala dalili za kulipwa arrears zao.Wastaafu kupitia mfuko wa pspf wanahaha kila kukicha kuulizia ni lini watalipwa.Ni lini serikali ya ccm itatimiza ahadi zake,mbona mnawadanganya wastaafu au mlikusudia nini?
Hakuna Ongezeko la fedha linaloanza katikati ya mwaka wa fedha wa serikali, kumbuka mwaka mpya wa fedha huanza mwezi july.
 
Back
Top Bottom