Wastaafu na kujipitisha kunani?

Imekuwa ni mtindo sasa hawa wastaafu maraisi mawaziri na wengine tele ,wamezua mtindo wa kuingia katika shuguli za kiserikali eti kama wastaafu, kama tunavyojua mwaka wa 2025 CHADEMA wanaibuka kidedea katika uchaguzi wa Uraisi na kugawana wabunge katika sehemu zingine.

Je, hawa wanaojulikana Wastaafu watakuwa na nafasi kama inavyoonekana sasa? Na nikihongezeya hakuna Raisi mstaafu ,wote walimaliza kukaa na cheo hicho kwa mujibu wa Katiba, sasa nipo palepale inakuwaje wanakuwepo katika mambo ya serikali au wana mambo yao ya kulinda interest zao maana CCM ukiondoka wanakukeketa vibaya sana, tumeyaona kwa baadhi ya walioachana na CCM mpaka wametafuta nyumba yao ya maficho kwa kisingizio cha Narudi nyumbani.

Hili jambo nina mashaka nalo. Yaani naisubiri 2025 niwaone wastaafu kama watahamia Nyumba mpya.
Wanaunga mkono kwanza miradi ya Magufuli ili baadae wakija kuunga katiba mpya msiseme ni wasaliti
 
Imekuwa ni mtindo sasa hawa wastaafu maraisi mawaziri na wengine tele ,wamezua mtindo wa kuingia katika shuguli za kiserikali eti kama wastaafu, kama tunavyojua mwaka wa 2025 CHADEMA wanaibuka kidedea katika uchaguzi wa Uraisi na kugawana wabunge katika sehemu zingine.

Je, hawa wanaojulikana Wastaafu watakuwa na nafasi kama inavyoonekana sasa? Na nikihongezeya hakuna Raisi mstaafu ,wote walimaliza kukaa na cheo hicho kwa mujibu wa Katiba, sasa nipo palepale inakuwaje wanakuwepo katika mambo ya serikali au wana mambo yao ya kulinda interest zao maana CCM ukiondoka wanakukeketa vibaya sana, tumeyaona kwa baadhi ya walioachana na CCM mpaka wametafuta nyumba yao ya maficho kwa kisingizio cha Narudi nyumbani.

Hili jambo nina mashaka nalo. Yaani naisubiri 2025 niwaone wastaafu kama watahamia Nyumba mpya.
Hawa watoto na wake zao wapo madakarani hivyo wanalinda maslahi ya familia zao
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom