Mkuu mimi kosa langu nini nimenakiri tu habari na kutoa ushauri wangu
Miaka zaidi ya 35 bado serikali yenu ya magamba inatafakari hoja za msingi za malipo ya wazee wa EAC?? Yani mmewanunulia ubwabwa hao wazee sita na kuwaandikia press statement wakaiwasilisha kwa mhariri wa umbealeo, oh no sorry habarileo.
Habari ndio hiyo wazee wameamua kuunganisha nguvu na Chadema kwakuwa wameridhika kabisa kwamba magamba ni matapeli na wauaji hawana mpango wa kuwalipa haki zao.
umenakili mbona umecomment hapo mwisho

Kwa hiyo ina maana na hao waliojiunga CDM walinunuliwa ubwabwa?:yo:
mosi,chadema imekuwa maarufu hata kabla ya hao wazee kujiunga,pili,watakosaje haki zao kama zipo?kujiunga chadema ndio kukosa haki?u are too myopic........BAADHI ya wazee wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wamesema hawalitambui kundi la watu waliojiunga na Chadema wakidai kwamba ni viongozi wa jumuiya hiyo na kukanusha taarifa kwamba wastaafu wengine wako mbioni kujiunga na chama hicho cha siasa.
Wakizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam wastaafu 13 waliokuwa wamewakilisha wenzao walisema kuwa uongozi wanaoutambua ni ule wa watu saba uliopo Mahakamani na wengine wanaojiita viongozi wa jumuiya hiyo wamelenga kuwarubuni wazee hao.
Akisoma tamko lao kwa niaba ya wenzake, Gregory Sandaria alisema kuwa wameguswa na taarifa iliyotolewa na wastaafu wenzao katika gazeti moja la kila siku (Si HabariLeo), kwamba viongozi hao wameamua kujiunga na Chadema na wastaafu wengine wako mbioni
"Kauli hiyo ya wastaafu hao sita viongozi wa kikundi cha EACORA wakiongozwa na Benjamin Mutembei na Jonas Musokwa picha yao ilipewa hadhi kubwa kwa kuwekwa katika ukurasa wa mbele wa gazeti hilo tena kwa kutumia umaarufu wa wastaafu wa EAC na sio vyama vyao vya siasa walivyo hama, ina utata," alisema.
Alisema "Hatuna tatizo la wao binafsi kujiunga na Chadema au chama chochote kingine cha siasa kwani uamuzi huo ni wa mtu binafsi.
Alisema kinachowasumbua ni staili waliyotumia ya kujiunga na chama hicho kwa kutumia umaarufu wa jina la wazee wastaafu wa EAC ambayo imeleta hisia potofu kwa jamii na hasa wadadisi wa mambo ya kisiasa hapa nchini.
Tunapenda kutamka kwamba hakuna kikao cha wastaafu tulichokaa kwa ujumla wetu na kujadili mapendekezo hayo na kisha uamuzi ukatolewa kwamba wastaafu wa EAC wajiunge na Chadema kama inavyodaiwa na wenzetu hao, alisema.
Tunaomba ieleweke kwamba, Umoja wa Wastaafu wa EAC haukusajiliwa kama chama rasmi, bali umoja ulisajiliwa na wastaafu 17,746 na kuwaunganisha waliokuwa wafanyakazi wa EAC, GFS pamoja na mashirika yake ya EARC, EAHC, EACHS, EAP&T na EAAC baada ya kuvunjwa kwa EAC mwaka 1977, alisema
Sandaria alisema walilazimika kujiunga ili kujenga nguvu za pamoja kwa nia ya kuikabili Serikali ambayo kwa sababu inazozijua yenyewe bado haijawalipa kikamilifu mirathi au haki zao za msingi zilizotokana na ajira zao
Taarifa hiyo imetolewa na kusainiwa na wawakilishi wa wazee hao ambao ni Sandaria, Yusuf Hamsini, Alfred Carere, Mbayo S.M.J, Asumbile Mwambona, Abdallah Masondole, Athuman Mwilima, KessY Gerald na Michael Peter.
Source: Habarileo tarehe 23 feb 2012.
Mytake: CHADEMA IACHE TABIA YA KUTAFUTA POLITICAL GAIN KWA KUPITIA MIGONGO YA WAZEE WETU, KUFANYA HIVYO KUTAWAKOSESHA WAZEE HAKI YAO.
ADC- Kwa maendeleo ya Taifa.
Mkuu mimi kosa langu nini nimenakiri tu habari na kutoa ushauri wangu
poleni wastaafu mtaendelea kutaabika hadi mtakapo ionja mauti maana mmeamua kuchagua hilo fungu
Ndio kusema umekisahau Chama cha ubwabwa na vitumbua??? Ccm bila ubwabwa haiwezekani...
BAADHI ya wazee wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wamesema hawalitambui kundi la watu waliojiunga na Chadema wakidai kwamba ni viongozi wa jumuiya hiyo na kukanusha taarifa kwamba wastaafu wengine wako mbioni kujiunga na chama hicho cha siasa.
Wakizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam wastaafu 13 waliokuwa wamewakilisha wenzao walisema kuwa uongozi wanaoutambua ni ule wa watu saba uliopo Mahakamani na wengine wanaojiita viongozi wa jumuiya hiyo wamelenga kuwarubuni wazee hao.
Akisoma tamko lao kwa niaba ya wenzake, Gregory Sandaria alisema kuwa wameguswa na taarifa iliyotolewa na wastaafu wenzao katika gazeti moja la kila siku (Si HabariLeo), kwamba viongozi hao wameamua kujiunga na Chadema na wastaafu wengine wako mbioni
"Kauli hiyo ya wastaafu hao sita viongozi wa kikundi cha EACORA wakiongozwa na Benjamin Mutembei na Jonas Musokwa picha yao ilipewa hadhi kubwa kwa kuwekwa katika ukurasa wa mbele wa gazeti hilo tena kwa kutumia umaarufu wa wastaafu wa EAC na sio vyama vyao vya siasa walivyo hama, ina utata," alisema.
Alisema "Hatuna tatizo la wao binafsi kujiunga na Chadema au chama chochote kingine cha siasa kwani uamuzi huo ni wa mtu binafsi.
Alisema kinachowasumbua ni staili waliyotumia ya kujiunga na chama hicho kwa kutumia umaarufu wa jina la wazee wastaafu wa EAC ambayo imeleta hisia potofu kwa jamii na hasa wadadisi wa mambo ya kisiasa hapa nchini.
Tunapenda kutamka kwamba hakuna kikao cha wastaafu tulichokaa kwa ujumla wetu na kujadili mapendekezo hayo na kisha uamuzi ukatolewa kwamba wastaafu wa EAC wajiunge na Chadema kama inavyodaiwa na wenzetu hao, alisema.
Tunaomba ieleweke kwamba, Umoja wa Wastaafu wa EAC haukusajiliwa kama chama rasmi, bali umoja ulisajiliwa na wastaafu 17,746 na kuwaunganisha waliokuwa wafanyakazi wa EAC, GFS pamoja na mashirika yake ya EARC, EAHC, EACHS, EAP&T na EAAC baada ya kuvunjwa kwa EAC mwaka 1977, alisema
Sandaria alisema walilazimika kujiunga ili kujenga nguvu za pamoja kwa nia ya kuikabili Serikali ambayo kwa sababu inazozijua yenyewe bado haijawalipa kikamilifu mirathi au haki zao za msingi zilizotokana na ajira zao
Taarifa hiyo imetolewa na kusainiwa na wawakilishi wa wazee hao ambao ni Sandaria, Yusuf Hamsini, Alfred Carere, Mbayo S.M.J, Asumbile Mwambona, Abdallah Masondole, Athuman Mwilima, KessY Gerald na Michael Peter.
Source: Habarileo tarehe 23 feb 2012.
Mytake: CHADEMA IACHE TABIA YA KUTAFUTA POLITICAL GAIN KWA KUPITIA MIGONGO YA WAZEE WETU, KUFANYA HIVYO KUTAWAKOSESHA WAZEE HAKI YAO.
ADC- Kwa maendeleo ya Taifa.
Miaka zaidi ya 35 bado serikali yenu ya magamba inatafakari hoja za msingi za malipo ya wazee wa EAC?? Yani mmewanunulia ubwabwa hao wazee sita na kuwaandikia press statement wakaiwasilisha kwa mhariri wa umbealeo, oh no sorry habarileo.
Habari ndio hiyo wazee wameamua kuunganisha nguvu na Chadema kwakuwa wameridhika kabisa kwamba magamba ni matapeli na wauaji hawana mpango wa kuwalipa haki zao.
Hii iwe fundisho kwa CDM, si vyema kutumia shida za wazee wetu kujinufaisha kisiasa, swala la kisheria liachwe kisheria sio kuliingiza kisiasa.