Wassira: Urais si mama mkwe


huyu wassira hana tofauti na malaya
 
Ha ha ha ha ha Nimeipenda hii EVOLUTION OF MAN. Where did something go wrong very terribly? Una maana huyu wa nyuma naye anataka urais? Kwa jamhuri gani ambayo bado primates wana hadhi ya kuongoza?

Usifikirie kwa kutumia 0713.... Aliekuumba we ndo kamuumba yeye
 

Kaeleza alichokua akifanya akiwa nje ya siasa sijaona alichokosea kwan we ulitaka akuambie alikua anauza viroba?
 
Kuna ile kesi iliyomthibitisha kuwa ni mloa rushwa,inamfanya awe uchi,huwezi kwenda kwa mkweo ukiwa uchi,urais bado ni mama mkwe tu kwa wasira

Kesi ya nyani kapewa tumbiri ulitegemea angeambiwaje Wote watoa rushwa hana CDM rushwa IPO mkono mtupu........
 
Naona vijana mnapata shida sana mkiona jina la Rais wenu mtarajiwa, hakuna namna inabidi muufyate tu, hiyo ni zawadi yetu Watanzania. Goo Wassira Goooo
 
Wassira yuko juu sana juu ya mbingu au juu ya mti

Aliyeko juu ni Mungu pekee, na wanadamu wote ni sawa, alikunyima wewe ndio aliompa yule, Kama ambavyo amekunyima bahati ya kuwa na Mvuto,wala umaarufu wowote,wala hufikiriwi kuwa Rais lakini vyote hivyo akampa Wassira.
 
Wassira, Ikulu siyo mahala pa kuchezea bali ni mahala patakatifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…