Ras Kisuse
JF-Expert Member
- Sep 25, 2012
- 368
- 31
Umesema yote
Wasira ni laana kwa taifa
Akaongoze Sokwe huko
Unaonaje ukaenda kumwomba mama yako akuonyeshe ulipoyokea mkuu alafu ndo uje tena pole sana kwa maneno makali lakini Ndio Dunia sina budi kukufundisha
ama kweli ccm ni chaka la waongo, kigwangalla-kaombwa, makamba-kaombwa, mwigulu-kaombwa, sumaye-kaombwa, pinda-kaombwa na wassira nae kaombwa, ni wananchi wepi hao? Mnakera
Mwaka 1995 hakutumia mda wake kukashifu CCM zaidi yeye alijikita kupambana na Warioba. Umri so kigezo cha kumfanya asiwe Rais angalia viongozi wengi Wa bara LA Afrika karibia wrote wanazaidi ya miaka 70 kwa Afya mzee Wasira analipa sana
usimkosee MUNGU wako kijana wote sisi ni matokeo ya mungu hauziki ki VIPi?[/QUOTE
Kwani wewe umeelewa kivipi hadi umetaka kunihukumu???????
Nnmemaanisha hana sera inayouzika kimataifa. upo hapo??
Acha wivu wa kike, nenda kapike.Kwenye ule mjengo mkubwa namna ile ambao unahudhuriwa na wapiga kelele wengi kiasi kile ameweza kuuchapa usingizi kiasi kile, Ikulu itakuwaje?
Acha wivu wa kike, nenda kapike.
Kuhama chama si tatizo ni kutofautiana mtazamo au kudhurumiwa haki na yeye anadai alidhurumiwa haki yake ndani ya CCM kwa kipindi kile ndio maana wana CCM WALEWALE waliodhurumiwa Mgombea wa wakamchagua
Kwenye ule mjengo mkubwa namna ile ambao unahudhuriwa na wapiga kelele wengi kiasi kile ameweza kuuchapa usingizi kiasi kile, Ikulu itakuwaje?
Kwenye ule mjengo mkubwa namna ile ambao unahudhuriwa na wapiga kelele wengi kiasi kile ameweza kuuchapa usingizi kiasi kile, Ikulu itakuwaje?
Acha wivu wa kike, nenda kapike.
Mbna unakuwa mkali sana mkuu??
Kwenye ule mjengo mkubwa namna ile ambao unahudhuriwa na wapiga kelele wengi kiasi kile ameweza kuuchapa usingizi kiasi kile, Ikulu itakuwaje?
usimkosee MUNGU wako kijana wote sisi ni matokeo ya mungu hauziki ki VIPi?[/QUOTE
Kwani wewe umeelewa kivipi hadi umetaka kunihukumu???????
Nnmemaanisha hana sera inayouzika kimataifa. upo hapo??
kimsingi huyu mzee mi simkubali kabisaaa.
nimependa sana wana JF wengi kwenye huu uzi wako positive , ni mmoja nimeona amesema mzee amechoka analala bungeni ila sijaona aliesema mzee hayuko makini anafunga koti WASSIRA STAILI, i like to be honest to myself, mzee hayuko makini kufunga koti atakuwa makini na URAIS? ataweza kubeba watz millioni 47 kichwani? amuulize JK!
Nawashangaa sana nyie Vijana, kazi kubwa mnayoifanya hapa JF ni kupinga Kila kitu. Hata wakati JK anaingia mara ya Pili 2010 mlimshambulia na kutukana, lakini leo anamalizia Muhula wake wa Pili taratibu bila shaka. Mmekuwa kama Chiriku kuiga kila sauti ilimradi tu muonekane mnapinga, Hoja juu ya Viongozi wengi hasa walioko CCM no negative kila siku. Hata Wassira ambae tunamjua kabisa kuwa sio Mwizi na kiongozi mwenye msimamo thabiti mnambeza!!!???Kiyoyozi cha mule kinabembeleza kimya kimya sio kama vya huku mitaani kwetu vinapiga kelele.
Nadhani kuna umuhimu wa ninyi kubadili mtazamo katika maeneo fulani hasa yanapokuja maslahi ya Nchi. Lasivyo mtapiga kelele saaana mwisho anakuwa Rais mkaishia kuaibika na kunung'unika miaka 10 mingine.
Badilisheni Mtazamo. Tovuti rasmi ya Stephen M. Wasira
Hv watz na akili zetu tunaweza tukachagua hyo?