Wassira ndani ya TBC - aibu tupu

Ukiona mtu mzima kama ww unamlalamikia mwanaume mwenzako km hivi ujue amekushika / amewashika pabaya. Hongera, Wassira kaza buti uliposhika hapo hapo usiachieee wanaweweseka na kutaabika watu km aliye leta thread hii na wengineo humu JF

kwa kweli ccm imeishiwa mbinu na watu! mimi nawaambieni, ukichota maji safi kwenye chombo kinachotizamika kuchafuka, itakuwia ngumu kuwashawishi watu usafi wa maji ndani ya hicho chombo!!!!! wasira? ataniambia nini chenye mfanano tofauti na anavyoonekana!!!!!
 
Ukiona mtu mzima kama ww unamlalamikia mwanaume mwenzako km hivi ujue amekushika / amewashika pabaya. Hongera, Wassira kaza buti uliposhika hapo hapo usiachieee wanaweweseka na kutaabika watu km aliye leta thread hii na wengineo humu JF

Ieleweke haya ni mapito tunaelewa marekebisho yaliyofanyika ndio chadema walikuwa wanapigania,hakuna kushikwa vibaya wala nini.Kinachotusikitisha ni kimoja tu,CCM wanategemea wataongoza milele no changes is coming.Huu ndio ulikuwa wa kutengeneza kitu ambacho hakisimamii upande wowote,tunashukuru Mbowe kwa kukubali yaishe,lakini kwa upande mwingine je chama kingine kikichukua madaraka kitatakiwa kuwaachisha kazi wakuu wote wa wilaya na wakuu wote wa mikoa kwasababu wamo katika katiba ya CCM wakiwa ni makada wakuu katika mikoa na wilaya hii ni hatari lakini hawa unaowasifia wahaangalii mbele na kujiwekea mazingira ambayo hayatasababisha wao kunyanyasika siku za mbeleni kama wanavyowanyanyasa wapinzani kwa sasa,sisi kama great thinkers tunatakiwa kueleza kinagaubaga nini kilichopo.Ninasikitika sana kuona wabunge, viongozi na mawaziri kuwa na fikra finyu kiasi hiki na hii inaonyesha ni kwanini hali ya nchi imekuwa mbaya.
 
Ukiona mtu mzima kama ww unamlalamikia mwanaume mwenzako km hivi ujue amekushika / amewashika pabaya. Hongera, Wassira kaza buti uliposhika hapo hapo usiachieee wanaweweseka na kutaabika watu km aliye leta thread hii na wengineo humu JF

Location yako na comments zako kama zapishana njia vile? Ni mtazamo tu!
 
Mi natabiri kifo cha jamii forum dec mwaka huu, km moderator alianzisha kiwe kijiwe cha matusi, wengi watakimbia, huyo kaongea siasa badala ya serikali, we unamtukana, mi nakuona ww km ndo unakwamisha maendeleo ya nchi hii huna unaloweza kulifanya kazini kwako, iweje we ukose cha maana cha kuandika af wenzio wachangie mambo ya maana af unataka uonekane una akili timamu? No way:rant:
 
Ukiona mtu mzima kama ww unamlalamikia mwanaume mwenzako km hivi ujue amekushika / amewashika pabaya. Hongera, Wassira kaza buti uliposhika hapo hapo usiachieee wanaweweseka na kutaabika watu km aliye leta thread hii na wengineo humu JF

Du! Wewe ni mke wake S. Wassira nini, maana mwaandishi mmoja wa gazeti la Raia Mwema aliwahi kusema kuwa mme na mke wakikaa pamoja huwa wanafanana. Na hasa kufafana kwao si sura bali ni tabia. Mawazo yako haya yanuka kiwassira wassira.
 
Back
Top Bottom