Nikukumbushe
JF-Expert Member
- Jun 4, 2013
- 2,602
- 408
Viongozi hawa wamekuwa wakitoa kauli mbalimbali zenye utata kiasi ambacho kinatuchanganya sisi watanzania. Kauli yeyote ikisemwa lazima jambo litokee,ccm kulikoni? Membe alisema,ana maadui 11 wawili wandishi wa habari,kibanda akaumizwa,Pinda liwalo na liwe na likawa kwa ulimboka.CCM kaeni chini mjitathimini,vinginevyo mnaleta machafuko.Hii nchi sio yenu ni ya watanzania wote,kwa nini mnang'ang'ania madaraka?
Mosi,Wassira alisema,kabla ya mwaka 2015 alisema chadema lazima ife,na chadema ni taasis iliyoundwa na watu,je mpango wake ni kuua watu au ni kuua jina? Utata wa kauli yake unakuja anaposema lazima ife,huwezi kuua chama kama hujaua watu na chama ni watu(viongozi,wanachama,washabiki na wapenzi wa chama) sio miti.Kwa hiyo tukio la Arusha lililotokea mlengwa mkuu ni Mbowe na Lema,hii ni dhahiri kuwa kauli ya Wasira iko katika utekelezaji.Huyu mtu tuhuma hizi lazima anahusika. Nasema ivyo kwa kuwa hajaonesha ni jinsi gani chama kitakufa aidha kwa shari au kwa heri.CCM na serikali hatuwaelewi.
Pili,Nchemba amekuwa na kauli zinazohusiana na mauaji katika kauli yake ya kwamba Arusha msipoichagua CCM mtakufa' huu ni mwendelezo tu wa kauli zinazopelekea mauaji.Na huu unaweza kuwa ni mpango maalumu wa kisiasa kwa kuwa Nchemba,Wassira na Nape they have authorities and he has delegated responsibility and behind them there is power.Kauli yake hii ni dhahiri kuwa iko katika utekekezaji.
HUWEZI KUFANYA JAMBO BILA KUFIKIRIA,hivyo kauli hizi ni dhahiri kuwa Viongozi wa ccm na serikali yake ni watuhumiwa namba moja,hili halina ubishi.